Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Unavaaje kikuku sasa kama ni mtu uliyestaarabika!Kweli kila mtu na mtazamo wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavaaje kikuku sasa kama ni mtu uliyestaarabika!Kweli kila mtu na mtazamo wake
Kwahiyo wapima ustaarabu kwa vikuku..??ndio maana nimesema kila mtu na mtazamo wake na huo mtazamo sio wako pekee kuna baadhi nao wanamtazamo kama wakoUnavaaje kikuku sasa kama ni mtu uliyestaarabika!
Sawa ila hata uwe mstaarabu vipi nikiona umevaa hilo dude kama mpenz wangu tunaachana aidha ubadilike chap usije rudia tena!Kwahiyo wapima ustaarabu kwa vikuku..??ndio maana nimesema kila mtu na mtazamo wake na huo mtazamo sio wako pekee kuna baadhi nao wanamtazamo kama wako
Kuvaa kikuku sio uhuni..na kuvaa kikuku sio kukosa ustaarabu nakataa..kuna watu hawapendi vaa vikuku lakini ni makahaba yaliyoshindikana
Kwahiyo wapima ustaarabu kwa vikuku..??ndio maana nimesema kila mtu na mtazamo wake na huo mtazamo sio wako pekee kuna baadhi nao wanamtazamo kama wako
Kuvaa kikuku sio uhuni..na kuvaa kikuku sio kukosa ustaarabu nakataa..kuna watu hawapendi vaa vikuku lakini ni makahaba yaliyoshindikana
kuna vipini na vishaufuaisee mie akiwa na hereni puani.... yereeuwiii namuona ka jini
Plus wale wananyoa pembeni Kama bwenzi flani hv wanaita Style kma ya shetta, ukiwa nae mpira kuandaa ni lazimaAsilimia 80 ya wanawake wa aina hii ni walewale
Wewe umezifanyaje nywele zakoTena usiombe awe ameweka hivyo na kanyoa kiduku
Nimeziweka dawa zipo tu simpleWewe umezifanyaje nywele zako
Nina uhakika sababu nimeishi na watu wa style hiyoKama unajua kuvaa kikuku sio uhuni iweje uunge mkono wanaopaka bleach na kunyoa kiduku? Una uhakika gani kama nao ni wahuni
Sawa ila hata uwe mstaarabu vipi nikiona umevaa hilo dude kama mpenz wangu tunaachana aidha ubadilike chap usije rudia tena!
Msambwanda unao?Nimeziweka dawa zipo tu simple
Tunasubiri utuwekee hizo picha za hao wanawake wanaopaka bleach
Vipi umeweka nywele zako style hizo nini? Swaga mimi nazipenda hizo swagaDah! Haya