Wanawake wanaopaka bleach kichwani wengi wao vicheche

Wanawake wanaopaka bleach kichwani wengi wao vicheche

Nina uhakika sababu nimeishi na watu wa style hiyo
Kuishi nao bado sio sababu maana inaweza ukawa umeishi na wawili watatu, haimaanishi ni wote wahuni.

Kuna maznat, mboni, shamim, vanessa hawa wote wamenyoa na wameweka bleach, are they slut?
 
Kuishi nao bado sio sababu maana inaweza ukawa umeishi na wawili watatu, haimaanishi ni wote wahuni.

Kuna maznat, mboni, shamim, vanessa hawa wote wamenyoa na wameweka bleach, are they slut?
Sikumaanisha ni wote but most of them
 
Kuna hilo... na lile la kutoboa matundu mengi masikioni kwajili ya kuvaa hereni au kutoboa puani.
 
Wakongo ndio wanapenda sana hizo mambo.
 
Rangi kwenye kichwa cha mwanamke ina uhusiano gani na afya yake au tabia yake? Kwanza wanaume judgemental kama wewe wapitilie mbaaali hata hatuwataki.
 
Back
Top Bottom