TRY ME AND FIND THE TRUTH!
Yani nakupa complimentari jaribu uone!au tuma kijana wao atakuletea habari kamili.
Nimeshakuruhusu,km majibu yatakuwa hapa hapa naomba na mchakato ufanyikie hapa hapa live na mshindi apatikane hapa hapa,hakuna cha pm,wala nn haya anza kumwaga mistari..........!Situmi kijana wala mzee, mimi mwenyewe ili niamini kama kweli nimeshindwa ila tunakubaliana litakalotokea tunasema hapa
Hahahahahaa Ashadii unaniharibia bhana....Lol!Be careful Cantalisia... Hii ya kufingiana hujenga "unbound Chemistry" inakua utafikiri una kiu cha kukata roho in the long run...
Hahahahahaa Ashadii unaniharibia bhana....Lol!
Umesoma novel moja inaitwa "Nothing lasts forever" ya Sydney Sheldon?
AAAH hii mistari iko protected na Trade Mark bhana kumwaga hapa itarahisisha piracy ya wajamaaa bure.Nimeshakuruhusu,km majibu yatakuwa hapa hapa naomba na mchakato ufanyikie hapa hapa live na mshindi apatikane hapa hapa,hakuna cha pm,wala nn haya anza kumwaga mistari..........!
Ni kizuri sana ndo kinaongelea hii habari ya wanaume kubet kwamba atampata mwanamke fulani na mwanamke alipogundua kwamba wamebet kwa ajili yake akamkubali jamaa kweli na kama ilivyo kawaida yenu wadada akafall kiukweliNilikua simsomi kabisa Sydney Sheldon... However kuna vitabu The Voice of Reason ame recommend ndo vipo kwenye list ya kuvitafuta, i will however add hio just in case...
Ni kizuri sana ndo kinaongelea hii habari ya wanaume kubet kwamba atampata mwanamke fulani na mwanamke alipogundua kwamba wamebet kwa ajili yake akamkubali jamaa kweli na kama ilivyo kawaida yenu wadada akafall kiukweli
Hapo nilipoweka rangi ndipo penye manenohivyo kwa uono wangu wasichana wengi wanakuwa waoga wa kukataa kwa sababu wanaamini kuwa wakimkosa leo kesho atakuwa keshachukuliwa na mwingine. Siku hizi hakuna cha "NAMWOGOPA BABA" au "TWENDE KWANZA KWA WAZAZI", kwanza wanaume wa siku hizi pia hawapendi longo longo.
kwanza heshima yako dada mkubwa,sio hivyo sisy nilitaka ajue kwamba bado tupo hata siku hizi,kwani bila NO tutawajuaje hawa matapeli?Be careful Cantalisia... Hii ya kufingiana hujenga "unbound Chemistry" inakua utafikiri una kiu cha kukata roho in the long run...
Km hutaki hapa basi na majibu hayana umuhimu wa kuwa hapa!AAAH hii mistari iko protected na Trade Mark bhana kumwaga hapa itarahisisha piracy ya wajamaaa bure.
Hapa tunafanya Declaration then tunakuja kuleta matokeo
Hahahahaaa uzuri wa kuwa mwanaume ni kuwa tuna nguvu ya kuvumilia sana, kingine its hard kumjua mtu anayesema ukweli just kwa kutumia muda................i think its better ukaanza kufikiria kipimo kingine cha kumjua mtu real na tapeli (as u called them)Km hutaki hapa basi na majibu hayana umuhimu wa kuwa hapa!
Mie nataka nikupe vibuti vya mbavu hapa hapa live,ila nimegundua huna uwezo wa kuvivumilia hahahhhh!
Msimamo uko pale pale,nawakilisha wanawake wa siku hizi ambao bado tunasema NO.
Haaaa haaa,nina vipimo vingi sana sio muda peke yake hicho tu ni kimojawapo,kwavile umeamua kujitoa mhanga ww jaribu then utajua namaanisha ninaposema NO.Hahahahaaa uzuri wa kuwa mwanaume ni kuwa tuna nguvu ya kuvumilia sana, kingine its hard kumjua mtu anayesema ukweli just kwa kutumia muda................i think its better ukaanza kufikiria kipimo kingine cha kumjua mtu real na tapeli (as u called them)
As for our case tutaendelea private na mwisho tutajadili kama matokeo yaje ama la
Wambie labda watajilekisha maana cku izi wanaume atupati shida kutongoza mwanamke wa aina yoyote.
Nijaribu iliisha vipi?? Then akampata only to find out he falls for real for the lady.... just when the lady anagundua it was for the bet but not the love for her, anaamua hamtaki tena the guy na kutaka kusepa (or kasepa kweli) then the guy anaanza kujuta na hivo kuanza nguvu mpya ya kum-convince kwamba yes it was true but i came to know the real you and eventually fell in love with you.... But all in all at the end wanakua tena pamoja....
Am i close Musimo jr?? lol