Wanawake wanaotafuta wachumba humu ni noma!

Hebu piga kimya binti

Mwenzio napata mauzoefu hapa maana yaweza kunikuta na uzee huu..

Eh, mkuu sasa ukiombwa unawajibuje? au unawachomolea vipi...?

na uzee wote huu bado unatafuta kunasiana mbona hubadiliki ww,
 
na uzee wote huu bado unatafuta kunasiana mbona hubadiliki ww,

Nasikia vijana wanafaidi sana siku hizi tofauti na enzi zetu zamani, hebu niwache nionje pepo ya dunia kabla sijafa mie...
 
hatuko tayari kufua nepi kwa umri uliofikia maana pampers utatufilisi kilo zako lazima tuweke order kiwandani,ridhika na ulichonacho ww mwanaume.Baby mzima?
 
wee nawe bana ...yaani wewe ulidhani hapa ndio pakupata mke!? wewe wakamatie umege usepe...hiyo ya kuombwa hela na vocha wala sio jipya...hamna papuchi ya bure
 
wanaomba mshiko kupitia Pm
hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu
ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious
hapa jamvini!

Pole sana aisee! We ulijua vicheche wapo sewa tu? ni takataka cyo wanawake wa humu.
 
tuwekee chating mliofanya hadi mlipofikia tuone kama wewe hukuwa chanzo chakuombwa hela
 
Sio ubahili ndg.yangu badili tabia utatoaje mshiko hata hujamega mzigo!
 
Jamani bint.com hizi ni enzi za nipe nikupe!
 
Pole sana! ila ndiyo hivyo wenye hela wanatafuta wakuzitumia hawapati na wasio na hela wanawatafuta wenye hela hawawapati!
Life is not fair sometimes!


wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!
 
Wako Mkuu wanaopata wachumba wa ukweli hapa na hata ndoa zimefungwa na nyingine ziko njiani kufungwa ila wahusika wengi hawapendi kurudi hapa na kusema mafanikio katika utafutaji wao wa uchumba. Kuna wengine wanaona hata noma kusema mke/mume au mchumba wangu tumekutana JF. Sijui hili linasababishwa na nini hasa.

wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!
 
wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!

Mbona mimi hakuna hata mmoja aliyewahi kuniomba wala kudokeza tu. Sema kama mwanaume unaanza kuwatongoza basi ujue watakupima, na mengineyo kukuchuna. Wengi hapa tuna wadau washirika wenzetu katika majadiliano, tupo kidebate tu na mjadala ukiisha hatunaga ya ziada ila tutakutana kama kuna mjadala mwingine wa kutukutanisha. Ukianza kugeukia upande huo wa sarafu yanayokupata usije kutulalamikia kwani umeyataka mwenye. Maana unakuta wengi tunashangaa na kitu hicho tusichopata kukiona hapa.
 
Kumbuka kwamba ni "malipo kwanza" then huduma.

Mwanamke anapojiruhusu kudhalilishwa na kujidhalilisha ni pale anapoamua kuwa chombo cha kutumiwa kwa malipo, na mtu uamuapo kutumika kwa malipo pasipo ridhaa ya moyo wa kuridhiana dhana ya mapenzi ni biashara. Hata wawili mnaporidhiana kimapenzi na kupendana lakini mmoja kuhitaji ziada ya raha wanazopata wote pamoja akirimiwe malipo kwa kustarehe wote ni dhana ya kutumia maungo ya mwili wake kwa minajili ya kufanya ngono kwa malengo ya kibiashara. Maana bila malizo hayuko radhi kufanya ngono hata kama wamependana, hivyo dhana ya mapenzi kwa msichana wa aina hiyo ni biashara ya mapenzi /ngono aina ambayo kwa tafsiri nyepesi ni uasherati. Uasherati ni msamiati usioleta maana nzuri katika jamii lakini ni wengi tu wanaofanya uasherati kwa maana lete pesa tufanye ngono maana haku mwasherati anayeweza kukubali kufanya ngono bila malipo. Hali kadhalika mwenye kutumia chambo cha pesa kama njia ya kukodi mwili wa mwezie kufanya mapenzi ni uasherati pia.

Mwanaume mwenye kuridhia mahusiana na mfanya biashara huyo wa kukodisha maungo yake kwa ngono pengine huishia kufanya hata yasiyotegemewa ili mradi pesa yake itumike kwa namna anavyoona imemtosheleza hata kama ni kuharibu afya yake. Kwa wenye upendo wa kweli wanajisikia haki sawa na kusaidiana iwe mdada au mkaka vyo vyote wanahitaji kwa pamoja kuwekana sawa iwe kimapenzi hali kadhalika kiuchumi. Mdada yuko tayari kumsaidia mkaka katika hali na mali na mkaka hali kadhalika. Ipo siku mdada anam-take out mkaka na siku nyingine mkaka anam-take out mdada, hao ndio wanajua maana ya mapenzi ya kweli na uwajibikaji wa kila mmoja kwa mwenzake.

Ukishaona mdada anatanguliza dalili za biashara ujue moja tu maisha yote hata mkioana utabaki kununua huba kwa sababu utaratibu wake kufanya mapenzi ni kukodisha mwili wake kwa malipo, na pengine ukawa na ziada peke yako financial kwa familia na yeye asijisikia kama ni sehemu ya jukumu lake. Nini maana ya bf/gf au mume na mke lakini katika mapenzi ya kweli kuna kukodishana kwa malipo?

Kati ya wawili wanaojamihiana nani anayenufaika au kufurahia? Wote pamoja wanajisikia raha na kufarijika na kujisikia faraja toka kwa mwenzi. Iweje wakati wote mmeonja raha sawa halafu mwingine akamuliwe? Hii ndiyo hali ya mwanamke kujiruhusu kuwa chombo cha kutumiwa kibiashara kwa kukodisha mwili wake kwa muda utumiwe na mwanaume kuwa source ya mapato ya mwanamke kwa njia ya zinaa/ngono. Nakumbuka kuli ya mzee ruksa alipowaasa watanzania: "tuache ngono jamani, ukimwi utatumaliza, nawasihi tuache ngono jamani."

Kuna dalili wazi nyingine mojawapo ya msichana kuomba hili mara lile hata kama hamjafahamiana kutosha, maana yake amejitosheleza kwa kila anachohitaji hata kuhusu mwenza anaye, ila ni njia tu ya kukukatalia. Mwanaume kuendelea kubembeleza basi dau linapanda na kujikuta mwanaume laini na mwepesi kujiruhusu nusu ya mshara wake amalizie kwa starehe ya mahaba ya dakika chache. Pengine wengine licha ya kuwa na mwenza hugeuza nje ya mwenza kuwa kitegea uchumi, rejea paragraph ya kwanza niliyosema kujidhalilisha na kujiruhusu kudhalilika kwa kutumia maungo ya mwili wake kukodisha kama chambo cha kuwatega wanaume wammuminie michuzi ya kuishia.
:cheer2::cheer2::cheer2:​

Ukombozi wa Manamke bado:cheer2: Inamfikisha mfanya biashara kusitisha ugo kwa wateja :cheer2:
kwa sababu tu amejiruhusu kuwa bidhaa.

:cheer2::cheer2::cheer2:

 
Kwani lazima zote uzijibu? Application nyingine acha zipite!
 
wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!

Unaombwa kabla hujagagadua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…