Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu piga kimya binti
Mwenzio napata mauzoefu hapa maana yaweza kunikuta na uzee huu..
Eh, mkuu sasa ukiombwa unawajibuje? au unawachomolea vipi...?
wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!
na uzee wote huu bado unatafuta kunasiana mbona hubadiliki ww,
wanaomba mshiko kupitia Pm
hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu
ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious
hapa jamvini!
Kumbuka kwamba ni "malipo kwanza" then huduma.Sio ubahili ndg.yangu badili tabia utatoaje mshiko hata hujamega mzigo!
wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!
wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!
wanaomba mshiko kupitia Pm hata kabla hamjaonana! mara kodi yangu ya nyumba imeisha,mara bima yangu ya gari imeisha,mara nirushie vocha Jamani kuna wanaume wako serious hapa jamvini!
Kumbuka kwamba ni "malipo kwanza" then huduma.
mke anapata ila malya hapati.Bahaili Hapati Mke!!!!!!!!!!