Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! Eti wanawake (mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu (Mbeya, Njombe and Iringa) ndiyo wabaya kwa sura na figure (Body structure) mbaya kuliko wa mikoa mingine! Je, hili lina ukweli?
 
Si kweli!!!!!!! KUNAGENES ZA KYELA MBEYA ZINA VIJUNGU BALAAAAAAA! MIGUUU KAMA MATENDE!!! Sema wanawake wa kyela bana washazoea pesa ya MCHELE, tabu yao moja tuuuuuu! Waulize waume zao.

Vijungu, miguu kama matende mh!
 
Si kweli!!!!!!! KUNAGENES ZA KYELA MBEYA ZINA VIJUNGU BALAAAAAAA! MIGUUU KAMA MATENDE!!! Sema wanawake wa kyela bana washazoea pesa ya MCHELE, tabu yao moja tuuuuuu! Waulize waume zao.

duh!
We Lara...Mpaka Kyela Unadetails Nako?
we Tishaa!
 
"Wa mbili havai moja"...in short wanawake au wanaume waliokulia mazingira magumu na ya kijijini, huwa hawana mvuto kama wale wa mjini kutokana na shurba na dhahma wanazokutana nazo....
Sasa kutokana na utangulizi huo, utagundua kuwa si mikoa hiyo ya Nyanda za Juu tu kuna aina hiyo ya kina mama, ni sehemu zote za Tanzania na afrika kwa ujumla.
Hivi ushawahi kuishi Umaasaini wewe ukawaona wale kina mama wa Kimaasai...au nenda kule kwa Wasukuma ukawaona jinsi walivyo...
 
Si kweli!!!!!!! KUNAGENES ZA KYELA MBEYA ZINA VIJUNGU BALAAAAAAA! MIGUUU KAMA MATENDE!!! Sema wanawake wa kyela bana washazoea pesa ya MCHELE, tabu yao moja tuuuuuu! Waulize waume zao.

mmmmmmmmmmmmmh_hebu ilete hapa hiyo taabu yao,maake... lo!
 
Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu ndiyo wabaya kwa sura na figure(Body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! je, hili lina ukweli?

kwani wewe ni mzuri,...mmmmmmmmmmmmmh?
 
Hawa wafuatao ni kabila jingine...sitalitaja jina ila ni hapahapa Tanzania...nia na madhumuni ni wewe mleta uzi uelimike kuwa sio kila unachoambiwa unameza kama kilivyo, vingine ni vya moto

Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu ndiyo wabaya kwa sura na figure(Body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! je, hili lina ukweli?

Wewe ukiwa pale chuoni, what was your experience? Labda tuanzie hapo.
 
Kuna ukweli flani,lazima tukubali wengi wao sio wazuri kivile kulinganisha na wale wa mikoa ya Kaskazini,hapa tunazangumzia majority.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…