Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,487
- 3,978
Ha ha ha Watanzania wengine ni wagomvi kweli kweli.
Huku sio anakotokea manengelo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku sio anakotokea manengelo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! Eti wanawake (mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu (Mbeya, Njombe and Iringa) ndiyo wabaya kwa sura na figure (Body structure) mbaya kuliko wa mikoa mingine! Je, hili lina ukweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pengine ishu hapa ni mipangilio ya hiyo mijipaja, miwowo, mitumbo, mititi.mtukome watu tuna mipaja.miwowo.mitumbo.mititi.miguu yetu halafu easement sie wabaya?wanaumwa hao wanaosema hivyo
ha ha ha ha ha ha wanajamvi mna utaniMi nimeowa huko ila nkili sio wazuri kwa sura Yaani Yeye tu mzuri ukoo mzima yaani wengine Sura duuuu ,,,Mpaka huwa namtania nasema duu hao waliobaki hawaoewiii Basi na yeye anatania kwetu ila ukweli wengi wao Wabaya Kama IRINGA ninao hapa watatu kazin wafupi kujidai kugusa tu wamejinyonga,,Sasa mda wote wamejifungia kwanini Usijinyonge mi nakaa nao kwa wangalifu maana wenzetu hawaogopi kifoo
Agness masogange alikuwa anatokea wapi. Achaga madharau yakoMi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! Eti wanawake (mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu (Mbeya, Njombe and Iringa) ndiyo wabaya kwa sura na figure (Body structure) mbaya kuliko wa mikoa mingine! Je, hili lina ukweli?
Hakuna Kama Jf Nihatar Umu Dah
Tumetoka mbali sana.Ni kweli kabisa kwanza wamejazia mwili mzima weusi kama west african wana miguvu kuliko wanaume ukileta zako za kuleta unachezea kichapo. Ila wanajua kutafuta hela sana