mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,099
Kwa maoni yangu Mbulu, singida, Kondoa, Tanga na Mkoa wa kilimanjaro ndio mikoa/wilaya zenye warembo TZ (Sura, nywele, rangi).
Kwa hiyo wewe Uzuri kwako NI weupe? Basi nenda usandawe maana utakuwa nyumbani