Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Kwa maoni yangu Mbulu, singida, Kondoa, Tanga na Mkoa wa kilimanjaro ndio mikoa/wilaya zenye warembo TZ (Sura, nywele, rangi).

Kwa hiyo wewe Uzuri kwako NI weupe? Basi nenda usandawe maana utakuwa nyumbani
 
Sio kweli kabisa kuna watoto wako vizuri sana tu sijaona Mkoa ambao una wanawake wazuri tu, Mungu anastahili sifa jamani na ndio maana kila mtu ana weakness zake utakuta mwanamke smart ila vingimbi ni shida sana utakuta sura umbo ila mtumbo huo ni shida ila ninachojua kila eneo kuna wazuri warembo na wabaya pia.
 
Naunga mkono hoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si kweli!!!!!!! KUNAGENES ZA KYELA MBEYA ZINA VIJUNGU BALAAAAAAA! MIGUUU KAMA MATENDE!!! Sema wanawake wa kyela bana washazoea pesa ya MCHELE, tabu yao moja tuuuuuu! Waulize waume zao.
 
Hapa kila mtu atasifia mkoa wake, we mleta uzi hii thread ni ya kichochezi.
 
Sio kweli watu wa hiyo kanda ni wazuri sana... watu kama akina Linah Sanga, Rachel, Ray C wako poa.
Wana chura halafu full heshima na kutunza familia.
 
Kwa maoni yangu Mbulu, singida, Kondoa, Tanga na Mkoa wa kilimanjaro ndio mikoa/wilaya zenye warembo TZ (Sura, nywele, rangi).
Nywele makabila yote zipo vilevile labda hapo Mbulu kidogo kuna tofauti sababu wale sio wabantu hivo baadhi wanavinasaba vya nywele laini toka huko Kaskazini mwa Afrika. Wakaskazini rangi na sura zinawabeba.
 
Back
Top Bottom