Nimekusoma kamanda.. na naona Kilimanjaro ulipapenda..
kama mimi ninavyopapenda Mtwara..
Wasalimie Kigooma
Mkuu, Kigoma ni kugumu kule kwani niliacha kazi na kurudi hapa Dar. Najifanyia kazi zangu kwa mikataba na ma NGO's. Vipi huko Mtwara siku hizi, je ni kuzuri?
Mkuu, Kigoma ni kugumu kule kwani niliacha kazi na kurudi hapa Dar. Najifanyia kazi zangu kwa mikataba na ma NGO's. Vipi huko Mtwara siku hizi, je ni kuzuri?
Mkuu wewe ni wa kabira lile nini
Mkuu kumbe hata Kigoma haupo tena?
anyway..Mtwara sasa ni poa..kwanza panafikika kirahisi sana!! huwa natumia 5:30hours from Dar
mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! Eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu (mbeya, njombe and iringa) ndiyo wabaya kwa sura na figure(body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! Je, hili lina ukweli?
Sipo, huko kule siyo sehemu ya kuishi hata. Mimi nabanana hapa hapa Dar na wewe.
Mimi Dar nipo kwa msimu..mara nyingine ni kikazi tu! makazi yako yapo kijijini..wilaya ya Tandahimba tarafa ya Litehu kata ya Mkwiti Kijiji cha Likolombe..hapa dar unabanana na akina Baba V + Wadau wengine wengi..
Sorry mkuu nilikosea kidogo ila nisha edit..nilikua najieleza mimi..baada ya kuniambia kuwa unakomaa dar kama mimi! ndiyo nikakueleza ninapoishi mkuu
Samahani kwa kukuingilia.....hivi huko si ndiyo mnakula panya? Poa lakini, ila karibu tena Dar.
wanadamu wote wazuri tatizo huwa matunzo, kama huamini ww mchukue hata msichana wa kazi kutoka mikoa hiyo unayodai ni wabaya wa sura na umbo halafu mtunze kama mwanao, miezi mitatu inatosha kukuambia yy ni nani. uaona vijana wanavyokatisha na kujizungusha ktk nyumba yakoMi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu (Mbeya, Njombe and Iringa) ndiyo wabaya kwa sura na figure(Body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! je, hili lina ukweli?
wanadamu wote wazuri tatizo huwa matunzo, kama huamini ww mchukue hata msichana wa kazi kutoka mikoa hiyo unayodai ni wabaya wa sura na umbo halafu mtunze kama mwanao, miezi mitatu inatosha kukuambia yy ni nani. uaona vijana wanavyokatisha na kujizungusha ktk nyumba yako
Panya wanaliwa maeneo ya masasi hadi sehemu za nachingwea..ila panya wanaoliwa siyo wale wandani..ni waporini!
kule moshi wanawaita fuko..
na hata kule kuna baadhi ya watu wanawala..