kidole007 JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 3,094 Reaction score 1,878 Aug 17, 2013 #21 MeinKempf said: sifa yao ya ziada ni : kupendelea kupiga puchu kwa kutumia huo mkono wakushoto. Click to expand... hee umeweka cctv kwa kila left handed woman au ndo asumption unatuletea hapa
MeinKempf said: sifa yao ya ziada ni : kupendelea kupiga puchu kwa kutumia huo mkono wakushoto. Click to expand... hee umeweka cctv kwa kila left handed woman au ndo asumption unatuletea hapa
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,236 Aug 17, 2013 #22 kidole007 said: hee umeweka cctv kwa kila left handed woman au ndo asumption unatuletea hapa Click to expand... Kama nimekugusa na kuku umiza , ila pole sana.
kidole007 said: hee umeweka cctv kwa kila left handed woman au ndo asumption unatuletea hapa Click to expand... Kama nimekugusa na kuku umiza , ila pole sana.
Amina Thomas JF-Expert Member Joined Mar 9, 2008 Posts 272 Reaction score 130 Aug 17, 2013 #23 Hivi maoni haya yamefanyiwa uchunguzi wapi? kwa left handed women/ girls wangapi? wa makabila,umri, mataifa gani?
Hivi maoni haya yamefanyiwa uchunguzi wapi? kwa left handed women/ girls wangapi? wa makabila,umri, mataifa gani?
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Aug 17, 2013 #24 carter said: Ni wanawake wenye msimamo sana, ni ngumu kumshawishi na kumbadilisha mawazo akishaweka maamuz yake. mfano, kama unamtongoza na akakwambia NO! hapo usiendelee kufatilia coz utaongea had mate yakukauke na hutapata kitu. Click to expand... Nani kakudanganya? Wakati wanakuaga "maharage ya Mwanjelwa!"
carter said: Ni wanawake wenye msimamo sana, ni ngumu kumshawishi na kumbadilisha mawazo akishaweka maamuz yake. mfano, kama unamtongoza na akakwambia NO! hapo usiendelee kufatilia coz utaongea had mate yakukauke na hutapata kitu. Click to expand... Nani kakudanganya? Wakati wanakuaga "maharage ya Mwanjelwa!"