OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Daaah aiseee kumbe ndo maana yake!! 😁😀😀Sasa si ushaona. Ni “kanyelamumo” = kanyea humohumo”
Washroom ya nini wakati hizo zilikuwa designed kwa ajili ya kujisaidia humohumo na ndiyo maana ikaitwa "Kanyela Mumo"View attachment 3098298
Uzi tayari
Wanakuwaga walaini na watamu sana hawa
kumbe wewe ni mwanamke😳Tunavaa diapers.