Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulewa na jamsuit ni mtihani kwakweli....kuna muda unatamani kutoboa kitobo cha emergency exitNi kazi. Hazifai kuvaa sehemu utakayohitaji kutumia washroom ya public maana ni lazima uvue kote huko juu.
Ila jumpsuit ni vazi zuri sana, fact kuwa unavaa nguo moja tu kyupi ya pili, unakuwa mwepesiiiii .
Hapana.kumbe wewe ni mwanamke😳
😆😆😆😆😆Kulewa na jamsuit ni mtihani kwakweli....kuna muda unatamani kutoboa kitobo cha emergency exit
Haha bro! na kwenye kitobo tunaweka mrija au kibomba.Kulewa na jamsuit ni mtihani kwakweli....kuna muda unatamani kutoboa kitobo cha emergency exit
Nafikiri itafaa mkiweka karai 😃😃😃😃😃Haha bro! na kwenye kitobo tunaweka mrija au kibomba.
Eva anataka ili tuende ku-wee kwa kusimama kama wanaume. kuepusha vaa vua 😂Nafikiri itafaa mkiweka karai 😃😃😃😃😃
HahahaaaaaaEva anataka ili tuende ku-wee kwa kusimama kama wanaume. kuepusha vaa vua 😂
Kibomba au mrija vitafaa.
Kibomba bro....Haha bro! na kwenye kitobo tunaweka mrija au kibomba.
Kulikon mnaitana mabro nanyie madem au ndo parodyHaha bro! na kwenye kitobo tunaweka mrija au kibomba.
JF hakuna wanawake, ogopa matapeli.Kulikon mnaitana mabro nanyie madem au ndo parody
Self containedDaaah aiseee kumbe ndo maana yake!! 😁😀😀