AhhaVipaumbele vimetofautiana,mie napenda wanaume wagumu, sipendi handsome boy wana mambo ya kike kike hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuSisi wanaume tunawapenda wote, wabaya na wazuri.
Sawa! Mode nimekuelewaUhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
Uhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
Wooozaa ukiniona utalia maana mimi ni mgumu hadi nakosa ukaribu na watu.
Hii avatar ni ya rafiki yangu Etoo ila mimi ni jamii ya watu kama Bafatimbi.
ila wangekuwa hawana mambo ya kike kike( other things remain constant) ina maana kipaumbele chako kingekuwa ni sisi mahandsome over wagumuVipaumbele vimetofautiana,mie napenda wanaume wagumu, sipendi handsome boy wana mambo ya kike kike hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nahisi kila mtu huwa anajiona mzuri...hata yule mweny sura mbaya ujiona mzuri,,,sasa wabaya watajijua vp
Ningumu kufahamu nini hasa mwanamke anapenda si wakuwaekea dhamana hawa
Hii avatar ni ya rafiki yangu Etoo ila mimi ni jamii ya watu kama Bafatimbi.
Yule mtu kwani yuko wapi siku hizi?
Kwa kweli Kapuya atampa maoni muruaKabla ya kuandika uzi huu umepata kuongea lolote na Juma Kapuya?
Wanatoka kwenda wapi,Na mke wa muosha magari anatoka na mwanaume tajiri.
Kapotea sana. Mwambie mme wake wa JF nampa hi.