Wanawake wanapenda ma handsome

Wanawake wanapenda ma handsome

1551714559725.png
 
Hii kwel mkuu sisi wenye sura ngum sharti uwe na pesa ila mahb weng wanakula totoz for free


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Embu tuacheni unafki, tu-assume mwanamke ana hela zake, anaweza kufanya independent choice alafu kuna wavulana wawili wa mkoani mwenye sura ngumu na wa Dar ambao ni mahandsome siku zote, nafikiri unajua wa Dar sikuzote anatoka kidedea. Ukiwa na sura ngumu ata kama una hela ndani ya moyo wa huyo mwanamke wako anampenda mwanaume handsome somewhere
 
Mimi mwanaume awe na akili tu kifupi awe anajielewa
Hayo mengine tutavumiliana
hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome..Kama mnakumbuka mke wa farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha yusufu hivihivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi.just imagine mdada anajikata mpaka na kisu akiwa anamwangalia yusufu kwa uzuri aaliokuwa nao yusufu.akamlazimisha yusufu kamkimbia dakika ya mwisho kabisa akaamua kumgeuzia kibao kwamba yusufu alitaka kumbaka.kinachoshangaza mwanamke na yeye hachelewi kukupoteza hata Kama akikupenda sana Hilo sote tulijue na ndo maana tumeagizwa tukae nao kwa akili.lakini pia mkae mkijua hawezi kukupenda Kama wewe sio handsome labda uwe na pesa.huu ndo ukweli mchungu wanaume wenye sura ngumu sana mnisamehe baba zangu.nasikia wengine mnasema kuwa wadada wanavutiwa na wanaume wenye sura mbaya za kikauzu.huku Ni kujitia tu moyo.tumeona mfano wa mke wa farao alikuwa hampendi mumewe anamuona Kama mzee mzee.hizi simulizi za kwenye vitabu vya dini Ni za kweli kabisa zimetokea karne nyingi zamani lakini hata Sasa mambo Ni Yale Yale huwa yanajirudia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom