Norami
Senior Member
- Feb 12, 2019
- 104
- 111
kwa mimi navyojua hakuna mtu mbaya sema tonatofautiana katika kutazama kila mtu ana upeo wake wa kuona utachokiona wewe kwa mtu fulani sicho ntakachokiona mimi kwa huyo mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mimi navyojua hakuna mtu mbaya sema tonatofautiana katika kutazama kila mtu ana upeo wake wa kuona utachokiona wewe kwa mtu fulani sicho ntakachokiona mimi kwa huyo mtu.
We bwana mdogo nilishakwambia umebarikiwa UKILAZA WA ASILI. Huyu bidada amekwambia wasichana wanapenda mahendsome!! Ulitakiwa ujiongeze kuwa ameandika kwa kejeli akimaanisha kuna tofauti kati ya msichana na mwanamke!! Loohh! Ujinga ni kipaji alisema mwalimu Nyerere!! Hasa ujinga wa kurithi toka kwa wazazi!! Cc FaizaFoxyExactly,,Wanaopinga ujue wana sura private/personal.
Sasa usipopenda pesa utapenda nini[emoji134]😀😀😀😀wasiopenda hela wote mikono juu maana mie napenda balaa naweza hata fia ndani ya wallet
Afu ma-handsome huwa hatuhongi, full kitonga aisee [emoji123][emoji23][emoji16][emoji3]Wasichana wanapenda mahandsome!
Hivi huwa mna nini eti... Bora msichana akachune akutumie wewe handsomeAfu ma-handsome huwa hatuhongi, full kitonga aisee [emoji123][emoji23][emoji16][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahahaTunaopenda sura ngumu tunaruhusiwa kucomment mkuu
Ushawai ona mtu ame honga gari.. kesho yake ana kutana na brazameni ana endesha?Uhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
Ukuje kwangu napenda sura ngumu mm
Mm nimeuliza tunaruhusiwa kucomment ebu niambie kinachokuchekesha Dada tucheke woteHahaha hahaha hahaha
Nakufwa mie
Mefurahi mimi jamaniMm nimeuliza tunaruhusiwa kucomment ebu niambie kinachokuchekesha Dada tucheke wote
MfyuuuuuMefurahi mimi jamani
Mwenyewe...Mfyuuuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenyewe...
Mwenyewe...
Hamjajiopolea kahandsome hapa kwenye huu uzi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome.Kama mnakumbuka mke wa Farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha Yusufu hivi hivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi.
Just imagine mdada anajikata mpaka na kisu akiwa anamwangalia yusufu kwa uzuri aaliokuwa nao yusufu. Akamlazimisha yusufu kamkimbia dakika ya mwisho kabisa akaamua kumgeuzia kibao kwamba yusufu alitaka kumbaka.
Kinachoshangaza mwanamke na yeye hachelewi kukupoteza hata Kama akikupenda sana hilo sote tulijue na ndo maana tumeagizwa tukae nao kwa akili.lakini pia mkae mkijua hawezi kukupenda Kama wewe sio handsome labda uwe na pesa.
Huu ndo ukweli mchungu wanaume wenye sura ngumu sana mnisamehe baba zangu. Nasikia wengine mnasema kuwa wadada wanavutiwa na wanaume wenye sura mbaya za kikauzu.
Huku Ni kujitia tu moyo, tumeona mfano wa mke wa Farao alikuwa hampendi mumewe anamuona kama mzee mzee.
Hizi simulizi za kwenye vitabu vya dini Ni za kweli kabisa zimetokea karne nyingi zamani lakini hata Sasa mambo Ni Yale Yale huwa yanajirudia tu.