Wanawake wanapenda ma handsome

Kakole,
Hizo ulizo orodhesha ni sifa ambazo mtu ataziona akisha kuwa kwenye mahusiano tayari.

Mjadala unazungumzia 'mvuto' (attraction). Ladies are mostly attracted to good looking men. This is primary. Then those factors that you mentioned earlier are secondary. I hope you're with me.
 
Wamarekani wanasema “ Ain’t such a thing as broke and handsome “
 
Huu utafiti wako umeufanya kwa kuangalia couples ngapi kwa mfano mpaka ukahitimisha kwa hata unayo yasema?!!!
Anza leo kuangalia au anza na wewe mwenyewe kama sura yako iko vipi na pia linganisha mkeo kama umeoa yupo vipi kama hujaoa fanya tu sampling i.e kwa watu unaowajua au hata kwenye social media halafu ulete mrejesho
 
Ukweli mchungu ila ndo ivo,

Tatizo handsome siku hizi nao wanapigwa nyuma ndo shidah,

Bora handsome uwe na sura ya kiume ila noma sana ukiwa na sura ya kike,
 
Anza leo kuangalia au anza na wewe mwenyewe kama sura yako iko vipi na pia linganisha mkeo kama umeoa yupo vipi kama hujaoa fanya tu sampling i.e kwa watu unaowajua au hata kwenye social media halafu ulete mrejesho
Nikijiangalia Mimi na nimeoa,naona you are very wrong. Ingawa case yangu pekee sio conclusion.
 
Nikijiangalia Mimi na nimeoa,naona you are very wrong. Ingawa case yangu pekee sio conclusion.
Sasa to every general rule there is an exception..pia sio rahisi kwa wewe kuthibitisha maana inawezekana nikawa niko right sema hutaki ku admit unless ningekua nakufahamu personally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…