Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Wewe ni me au ke..?? Mada kama hii lazima ipigwe chapuo na watoto wa kike. Sasa ID yako na ulivyosapoti napata ukakasi kdg kujua jinsia yko.
Kila kitu kipo wazi maelezo yapo wazi
Hapana mkuuu hahaa!!!! Mpenzi wangu ndiye aliyenitumia hiyo picha asubuhi nikaona sio mbaya niilete jamii forumWewe ni me au ke..?? Mada kama hii lazima ipigwe chapuo na watoto wa kike. Sasa ID yako na ulivyosapoti napata ukakasi kdg kujua jinsia yko.
Naona shemeji anakutengeneza taratibu ili UJIPANGE mkuu...!!!Hapana mkuuu hahaa!!!! Mpenzi wangu ndiye aliyenitumia hiyo picha asubuhi nikaona sio mbaya niilete jamii forum
Nikikuona nazidisha kukuweka moyoni sweetheartNi kweli
Darling nimekukosaWengine hapo anahamia kwa mchepuko hongereni wanaume wote mnaojali wake zenu kipindi hicho cha uzazi
Hahaaa!!! Nipo makiniNaona shemeji anakutengeneza taratibu ili UJIPANGE mkuu...!!!
Kuwa makini mkuu...!!!
Unaeza kuwa kama wa katika picha?Nikikuona nazidisha kukuweka moyoni sweetheart
Hahaha nitajifunzaUnaeza kuwa kama wa katika picha?
Mambo sweeetieDarling nimekukosa