Say you love me more than yesterday baby wanguTeh! kwani mi nimefanyaje?
Lakini huwa yanawatokea puani. Kama kuna kitu huwezi kufanya kila siku, katika ndoa, usikianzishe au kukubali. Mfano kuna siku bibie aliniomba nipande na mtoto wakati wa kulala. Kesho yake akaniuliza mbona unapanda bila mtoto, unategemea nani atampandisha? Nikajua kosa langu. Kutoka pale hadi anaweza kujipandisha ilikuwa ni kazi yangu! Ndivyo tulivyo binadamuIli aonekane anajali sn..!!! Hahahahaha
Kushangilia kwa hatua ya kwanza sio mbayaUsije kuchutama maana naona unapiga vigelegele mapema
Mshika mawili moja hummponyoka.Baby unajua lakini hii mtu kati inanipa ugumu kiwango cha north Korea USA cold war
Najua ulichonacho nahofia kukikosa
Najua alichonacho joanah pia
Mnaacha kuchangia uzi mnaanza mapenzi simpeane namba mkapenzike WhatsapPole baby nikuchumu Mara ngapi
Nimekusoma mkuuMsifanye kosa la kuonyesha huruma kwa mwenza wako. Cochea Chuma kisimame bila huruma. Nani aliwaambia kuna huruma ktk mapenzi?
Ukipewa Na Kapeace walah utazirai ka upo hivKushangilia kwa hatua ya kwanza sio mbaya
Wivu Na upweke haujawahi muacha mtu salamaMnaacha kuchangia uzi mnaanza mapenzi simpeane namba mkapenzike Whatsap
Aliyenacho ataongezewaMshika mawili moja hummponyoka.
Punguzeni kero ili tusihamie kwa michepuko, leo mm huu ni mwezi wa tatu tangu nihamie kwa mchepuko wangu ambapo kuna raha muda wote, kabla ya kuhamia pressure yangu ilikuwa inasoma180 kwa 120 lkn hivi sasa inasoma normal, kabla sijahamia kwa mchepuko nilikuwa naonekana km mtu mzee hivi lkn leo naonekana serengeti boy...najilaumu nilichelewa kumbe michepuko inajua kutunza sana.Wengine hapo anahamia kwa mchepuko hongereni wanaume wote mnaojali wake zenu kipindi hicho cha uzazi
Wala sijaingia kwa nyumba za wenyewe, lakini ndo uhalisia huo. Wanasubiri wakue waanze kupiga nao picha watupiemo kwa mitandaoUmeingia nyumba ngapi au utafiti wako ulifanya lini?
Uzi tushachangia huko mwanzoni, yaani hapa ni kama tumekula sasa hivi tunapumzika barazani pamoja zogo piaMnaacha kuchangia uzi mnaanza mapenzi simpeane namba mkapenzike Whatsap
Tabasamu lenyewe likiliona utakuja kunisalimia ICUUkipewa Na Kapeace walah utazirai ka upo hiv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Punguzeni kero ili tusihamie kwa michepuko, leo mm huu ni mwezi wa tatu tangu nihamie kwa mchepuko wangu ambapo kuna raha muda wote, kabla ya kuhamia pressure yangu ilikuwa inasoma180 kwa 120 lkn hivi sasa inasoma normal, kabla sijahamia kwa mchepuko nilikuwa naonekana km mtu mzee hivi lkn leo naonekana serengeti boy...najilaumu nilichelewa kumbe michepuko inajua kutunza sana.
MmmmhhhhWala sijaingia kwa nyumba za wenyewe, lakini ndo uhalisia huo. Wanasubiri wakue waanze kupiga nao picha watupiemo kwa mitandao
Kisa na mkasa mpaka umelowea kwa mchepuko ni nini?? Mke amekunya nini?? Pole kwa yaliyokukuta aiseePunguzeni kero ili tusihamie kwa michepuko, leo mm huu ni mwezi wa tatu tangu nihamie kwa mchepuko wangu ambapo kuna raha muda wote, kabla ya kuhamia pressure yangu ilikuwa inasoma180 kwa 120 lkn hivi sasa inasoma normal, kabla sijahamia kwa mchepuko nilikuwa naonekana km mtu mzee hivi lkn leo naonekana serengeti boy...najilaumu nilichelewa kumbe michepuko inajua kutunza sana.
Mimi sitahamia kwa mchepuko sawa kapeace wanguKisa na mkasa mpaka umelowea kwa mchepuko ni nini?? Mke amekunya nini?? Pole kwa yaliyokukuta aisee
Wewe ulitaka nife kwa pressure? Mbona hausikitiki kuona kabla ya kuhamia kwa mchepuko pressure yangu ilikuwa inasoma 180 kwa 120?Kisa na mkasa mpaka umelowea kwa mchepuko ni nini?? Mke amekunya nini?? Pole kwa yaliyokukuta aisee
Kweli?? Mkiwaga mnaomba tamu mnakuwaga watakatifu nyie loh!!Mimi sitahamia kwa mchepuko sawa kapeace wangu