Wanawake wanapenda sana wanaume kama hawa

Ili aonekane anajali sn..!!! Hahahahaha
Lakini huwa yanawatokea puani. Kama kuna kitu huwezi kufanya kila siku, katika ndoa, usikianzishe au kukubali. Mfano kuna siku bibie aliniomba nipande na mtoto wakati wa kulala. Kesho yake akaniuliza mbona unapanda bila mtoto, unategemea nani atampandisha? Nikajua kosa langu. Kutoka pale hadi anaweza kujipandisha ilikuwa ni kazi yangu! Ndivyo tulivyo binadamu
 
Wengine hapo anahamia kwa mchepuko hongereni wanaume wote mnaojali wake zenu kipindi hicho cha uzazi
Punguzeni kero ili tusihamie kwa michepuko, leo mm huu ni mwezi wa tatu tangu nihamie kwa mchepuko wangu ambapo kuna raha muda wote, kabla ya kuhamia pressure yangu ilikuwa inasoma180 kwa 120 lkn hivi sasa inasoma normal, kabla sijahamia kwa mchepuko nilikuwa naonekana km mtu mzee hivi lkn leo naonekana serengeti boy...najilaumu nilichelewa kumbe michepuko inajua kutunza sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Punguzeni kero ili tusihamie kwa michepuko, leo mm huu ni mwezi wa tatu tangu nihamie kwa mchepuko wangu ambapo kuna raha muda wote, kabla ya kuhamia pressure yangu ilikuwa inasoma180 kwa 120 lkn hivi sasa inasoma normal, kabla sijahamia kwa mchepuko nilikuwa naonekana km mtu mzee hivi lkn leo naonekana serengeti boy...najilaumu nilichelewa kumbe michepuko inajua kutunza sana.
Kisa na mkasa mpaka umelowea kwa mchepuko ni nini?? Mke amekunya nini?? Pole kwa yaliyokukuta aisee
 
Back
Top Bottom