Wanawake wanapenda sana wanaume kama hawa

Wewe ulitaka nife kwa pressure? Mbona hausikitiki kuona kabla ya kuhamia kwa mchepuko pressure yangu ilikuwa inasoma 180 kwa 120?
Si ndo nataka nijue kipi kilipelekea mpk presha kukupanda namna hiyo Sema ili tujifunze tusiwapandishe presha hiyo waume zetu
 
Si ndo nataka nijue kipi kilipelekea mpk presha kukupanda namna hiyo Sema ili tujifunze tusiwapandishe presha hiyo waume zetu
Kelele za kila siku ndani ya nyumba, mwanaume unatoka kazini umechoka unafika nyumbani mwanamke hayupo akirudi na kumuuliza alikuwa wapi anakuijia juu...mwanamke hajui mme umekula ama haujala yeye kutwa mguu na njia, mwanamke tamaa kila anachokiona hataki kimpite, ana madeni kwenye vicoba zaidi ya kumi.
 
Si ndo nataka nijue kipi kilipelekea mpk presha kukupanda namna hiyo Sema ili tujifunze tusiwapandishe presha hiyo waume zetu
In short wanawake wengi wanakiuka marriage ethics. ..na hapa ndipo kunapelekea michepuko yenye kulilia ndoa ipate nafasi, ukimkuta mchepuko aliyekuwa akitafuta mume na aliyefundwa lazima mwanaume uhamie. Nani anayependa kuungua na jua wkt kuna kivuli?
 
Alikuwa pasua kichwa si wote tupo ivo lkn tuna kasumba ya kujisahau tukiwekwaga ndani hili ni tatizo kubwa wachache sana wasiokuwa na hiyo shida, hata huo mchepuko upo ivo kwasababu unajua ni mchepuko subiri uurasimishe ni yaleyale km mkeo tu
 
Ndo maana sometimes naunga mkono mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja coz wale wake wataishi na wewe kimashindano hivyo kupelekea wewe kuwa na furaha
Naona unataka kunitema kijanja.
Hivi DJ ana matunguri gani?
 
Ni kweli
 
Ndo maana sometimes naunga mkono mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja coz wale wake wataishi na wewe kimashindano hivyo kupelekea wewe kuwa na furaha
Kuna michepuko mingine ni "Alhamdulilahi" unaonja mapenzi ya uzeeni na ni heri umpate mzee mwenzio kuliko vibinti vinavyopepesa macho kila vinapoona vibanda vya kuuzia chips na nyoma choma..
 
Kuna michepuko mingine ni "Alhamdulilahi" unaonja mapenzi ya uzeeni na ni heri umpate mzee mwenzio kuliko vibinti vinavyopepesa macho kila vinapoona vibanda vya kuuzia chips na nyoma choma..
Mzee kapitia mengi kaona vingi wengi wao wametulia sasa utoke kwa mkeo then uhamia kwa binti ni km kuruka mkojo kukanyaga jivi
 
Kiukweli mimi ni mmoja wapo [emoji134]‍♂️.....ndio maana huwa namuheshimu zaidi mke wangu kila niwaonapo watoto wetu pamoja na mapungufu yake zaidi ya buku lakini sijawahi kuacha kumpa heshima yake ya kua mama bora
Ooh jamani. Hii inachekesha hapo kwenye mapungufu zaidi ya buku ila unafanya vema sana kumpa heshima yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…