Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Si ndo nataka nijue kipi kilipelekea mpk presha kukupanda namna hiyo Sema ili tujifunze tusiwapandishe presha hiyo waume zetuWewe ulitaka nife kwa pressure? Mbona hausikitiki kuona kabla ya kuhamia kwa mchepuko pressure yangu ilikuwa inasoma 180 kwa 120?