Wanawake wanapenda sana wanaume kama hawa

Kupoteza usingizi wangu kwa jukumu la mke Ni ubwege
 
Niliamka sana usiku kumsaidia wife watoto walipokuwa wachanga, na asubuhi nilikuwa nadamkia kazini. Rafiki zangu walisema nimelishwa "limbwata ka kiwango cha lami".
 
Kibongo bongo ukijidanganya hivyo, ujue kesho tutapima uanaume wako mbali na kumiliki uume asee
 
Wengine hapo anahamia kwa mchepuko hongereni wanaume wote mnaojali wake zenu kipindi hicho cha uzazi

Kiukweli mimi ni mmoja wapo [emoji134]‍♂️.....ndio maana huwa namuheshimu zaidi mke wangu kila niwaonapo watoto wetu pamoja na mapungufu yake zaidi ya buku lakini sijawahi kuacha kumpa heshima yake ya kua mama bora
 
Lugha yenyewe kizungu kwahiyo hayo mambo ni ya wazingu bana
 
Sema inategemea na mwanamke alivyo kwa mumewe, ukutane na mwanamke pasua kichwa yaani awe freedom fighter ndani ya ndoa unadhan mwanamme atakuwa inspired kufanya hayo mambo.
 
Mmmmh sawa ni mapenzi but dah wakomae wenyewe,mbona wao hawatusaidii kula kwa jasho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…