kobokocastory
JF-Expert Member
- Aug 30, 2014
- 1,076
- 1,270
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapeace wanguTulia basi joanah anirekebishie mambo
Kwa hiyo hutakii wenzio amanKapeace wangu
Ananipenda hiyo inanipa aman
Wengine hapo anahamia kwa mchepuko hongereni wanaume wote mnaojali wake zenu kipindi hicho cha uzazi
Huo ndo upendo wangu kwa mbitiyaza sema mbiti na wewe madeko aisee
Kiukweli mimi ni mmoja wapo [emoji134]♂️.....ndio maana huwa namuheshimu zaidi mke wangu kila niwaonapo watoto wetu pamoja na mapungufu yake zaidi ya buku lakini sijawahi kuacha kumpa heshima yake ya kua mama bora
Na wapo wachache kweeli wa hivyo
Mimi ni mfano ndivyo nilivyo
Hongera mnooNaam wa hivi tupo wachache sana. Humu tumo kama 27 hivi kwi kwi kwi kwi LOL!
Yaani ndo km wamechochea upendo sasaKapeace wangu
Ananipenda hiyo inanipa aman
Kazana kiumeKwa hiyo hutakii wenzio aman