Wanawake wanapenda sana wanaume kama hawa

Haipo hiyo!!! Mtoto aache kupiga mtindi eti asalie kwenye mikono ya baba yake kuanzia let say 22:00 hadi 04:00?

Wacheni maisha ya kuigiza, na mama hatokubali
 
Oyooooo oyoooo oyoooo.

Kapeace kapeace kapeace

Mwanaume akiwekewa wanawake 100 achague mmoja atamtafuta yule mkali kuzidi wote wale 99 waliobaki watamuuma kuwaacha loh
Dj uchague moja bhana maana nahisi harufu ya kutumiwa hapa
Unajua tulipotoka eti usikatishe safari yetu tamu ya mapenzi ambayo hata tairi za ndege hazijafunguka bado we have a long way to sail
 
Mwanaume akiwekewa wanawake 100 achague mmoja atamtafuta yule mkali kuzidi wote wale 99 waliobaki watamuuma kuwaacha loh
Dj uchague moja bhana maana nahisi harufu ya kutumiwa hapa
Baby unajua lakini hii mtu kati inanipa ugumu kiwango cha north Korea USA cold war
Najua ulichonacho nahofia kukikosa
Najua alichonacho joanah pia
 


Kila kitu kipo wazi maelezo yapo wazi
Hii ni Hadi Mke awe anakuheshimu, wewe mwanamke anakudharau, hakusikilizi, anakukaripia HV WEWE MWANAUME UNAWEZA FANYA HII KITU, hamna mtu asiyependa kumtunza na kukaa na mwanae, sema wanawake wengine wanawafanya wanaume wengine wasifanye Hayo. Kwayule anaepitia Hayo niliyosema atanielewa, ila kwa yule hapitii Hayo ataniona nimeandika upuuzi so povu litamtoka. Ila nimewasilisha
 
Msifanye kosa la kuonyesha huruma kwa mwenza wako. Cochea Chuma kisimame bila huruma. Nani aliwaambia kuna huruma ktk mapenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…