Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Hongera sana mkuu na Mungu akubariki,Kiukweli mimi ni mmoja wapo [emoji134]♂️.....ndio maana huwa namuheshimu zaidi mke wangu kila niwaonapo watoto wetu pamoja na mapungufu yake zaidi ya buku lakini sijawahi kuacha kumpa heshima yake ya kua mama bora