Wanawake wanapenda sana wanaume kama hawa

Wanawake wanapenda sana wanaume kama hawa

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hujui hata kipindi cha kampeni watu waliomba kura kwa unyenyekevu kabisa ila sasa ndio unaona hali ilivyo.
Kapeace baby unajionea maneno ya mwifwa
 
Hayo Mapenzi kwa Tanzania yamebaki kwa Wachagga !Maana wale jamaa wapo na wazungu sana,Yani Moshi na huko Marangu mzungu akipita ni wa kawaida sana tofauti na kanda ya ziwa!Huko Geita akipita mzungu kila mtu atataka piga naye picha na kumwomba hela,Yaani watu wa huko hawajuagi kwamba nao wazungu hawanaga hela
 
We endelea tu kujifariji, hapo huna chako anza kupepesa tena macho
Hadithi
Ya
Bunuasi hii hujui tu vile tulivyoshibana na
Wake zangu hao matatizo yetu tunayamaliza chumbani tena huku tupo threesome
 
Hayo Mapenzi kwa Tanzania yamebaki kwa Wachagga !Maana wale jamaa wapo na wazungu sana,Yani Moshi na huko Marangu mzungu akipita ni wa kawaida sana tofauti na kanda ya ziwa!Huko Geita akipita mzungu kila mtu atataka piga naye picha na kumwomba hela,Yaani watu wa huko hawajuagi kwamba nao wazungu hawanaga hela
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom