Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Kivipi Husninyo?
siwezi sema sipo kwenye mahusiano wakati nipo and vice versa na mambo mengine yote yanayohusiana na hayo. Umeelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi Husninyo?
Hili hata mie Mtambuzi nisingekujibu.............swali gani liko uchi hivi?? Tafuta vijikona kona vya kupindia lakini direct namna hii!! Kama nilicheat nitacheka tu na kukujibu kwa swali ingine mf. kwa nini unaniuliza hivyo? bna ukirogwa ukatoa sababu tu umekwisha hahahahahaha eti ah nataka tu nijue!! ntakurudishia we ulishawahi? Ukisema ndio narukia ehee ilikuwaje? of coz utalitolea maelezo ikiwemo na justification ya kuwa ulilazimika baada ya kunyanyaswa na mpenzio, bla bla blah by teh time unamaliza nshakuchomekea story nyingine
hahahahahaha
hahahaha! Nimelipenda jibu lako.
Mtambuzi kama wewe ni mpenzi wangu na umeamua tuongelee mahusiano yetu yaliyopita kama nilicheat nitakwambia ingawa wewe unaweza ukahisi unadanganywa na huo ukweli.
uongo is 2 much kutoka kwa wanawake, jamani wanadanganya mno mpaka unawahurumia.
kimsingi kama kuna wa kweli, upo mmoja kati ya elfu kadhaa. Yaani ni waongo kupindukia
Lakini wanaume katika mahusiano wako juu kudanganya