Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 267
Namba ya watu waliokua nao...,Sijakuelewa wanapunguza wakati gani?
Hahahahahaaa sasa nimekuelewa, ni kwel sasa unadhani atakwambia hivo si utakimbia? hili ni kweli kabisa, hata mie ukija sasa hivi nitakwambia mmoja tu kumbe watatu@gaga, utakuta mschana ukimuuliza abt wa2 alofanya nao mapenz atakwambia let say watano huku kiuhalisia ni 20 na kwa mwanaume viceversa
haaha, what if cku ya cku akija pata evidence lyv kwama n wa3 na co kama ulvomwambia?Hahahahahaaa sasa nimekuelewa, ni kwel sasa unadhani atakwambia hivo si utakimbia? hili ni kweli kabisa, hata mie ukija sasa hivi nitakwambia mmoja tu kumbe watatu
Atakuwa kesha ji attach kwa hiyo itakuwa sio rahisi kujibandua, itabidi afanye kazi ya ziada na mimi hapo ndio nitamwonyesha kwamba mwanamke ni noma akipewa nafasi, then namwambia ukweli sasa ndio uliyosikia niliogopa kukwambia.....atabakia tu kusema...bathi gaga uthirudie tena mpenzi wanguhaaha, what if cku ya cku akija pata evidence lyv kwama n wa3 na co kama ulvomwambia?
Mwanaume anapokua younger ana vitu vingi vinavyo pause
kama tatizo kwa wao kupata SEX kila watakapo tokana na kama hizi baadhi..
Akisha kua mtu mzima, kapata kazi, kisha kua na experience ya kutosha ya 6/6, ana confidence hivyo idadi kuongezeka.
- Hajui kutongoza na kumconvice mwanamke, hivyo huepusha shari kwa kula kwa macho.
- Hana pesa ya kuweza support mwanamke hata kwa hivyo vitu vidogo..
- Bado ni mdogo, hua shida kidogo kupata sehemu ya kufanyia SEX, hivyo hua na mmoja/wawili hivi..
- Hana saana confidence katika tendo la SEX, na applications zake, hivyo kumkwamisha...
Mwanamke anapokua young anavitu vingi vinamshawishi
saana kua na wapenzi wengi ama kubadilisha mara kwa mara.
Akisha kua mtu mzima ndo anagundua kua alikua tu anachakachuliwa, hutulia, huanza kua makini maana anataka kuolewa au kusafisha jina, hadanganyiki ki rahisi, hata mwenye wengi hujua nini anafanya..
- Ni mdogo na very naive, hivyo huamini maneno ya uongo yoote ya wanaume.
- Hujiamini saana kua she is very beautiful, hivyo hua in favour kwa mtu yeyote antaemsifia (aka mama huruma)
- When younger idadi ya wanaume watongozaji ni kubwa mno hivyo kumfanya ashawisheke..
- Makundi (marafiki zake kumshawish) vitu kama double crossing, kubadilisha guys..
- Kuto kujitambua kabisa what she is about.
DISCLAIMER: Sio woote yaani kwa wadada/wakaka
hayo uliyosema hapo ni kweli kwa asilimia kubwa.
Pole sana mkuu kw kuvunjika mkono.Asante kwa kuniunga mkono Muhanga.Pamoja saana.
Pole sana mkuu kw kuvunjika mkono.
ww si Ashadii ww? au kuna Ashadii wangap humu ndan? .....umesema umeungwa mkono. si ulivunjika ndio ukaungwa? so pole.Mr. Chwechwe naamini umekosea wa kum quote... au hiyo pole yangu??