ww si Ashadii ww? au kuna Ashadii wangap humu ndan? .....umesema umeungwa mkono. si ulivunjika ndio ukaungwa? so pole.
naunga hoja!nionavyo mimi, ni kinyume, wanawake wanaongeza idadi, wanaume ndio wanapunguza idadi.
Mwanaume anapokua younger ana vitu vingi vinavyo pause
kama tatizo kwa wao kupata SEX kila watakapo tokana na kama hizi baadhi..
Akisha kua mtu mzima, kapata kazi, kisha kua na experience ya kutosha ya 6/6, ana confidence hivyo idadi kuongezeka.
- Hajui kutongoza na kumconvice mwanamke, hivyo huepusha shari kwa kula kwa macho.
- Hana pesa ya kuweza support mwanamke hata kwa hivyo vitu vidogo..
- Bado ni mdogo, hua shida kidogo kupata sehemu ya kufanyia SEX, hivyo hua na mmoja/wawili hivi..
- Hana saana confidence katika tendo la SEX, na applications zake, hivyo kumkwamisha...
Mwanamke anapokua young anavitu vingi vinamshawishi
saana kua na wapenzi wengi ama kubadilisha mara kwa mara.
Akisha kua mtu mzima ndo anagundua kua alikua tu anachakachuliwa, hutulia, huanza kua makini maana anataka kuolewa au kusafisha jina, hadanganyiki ki rahisi, hata mwenye wengi hujua nini anafanya..
- Ni mdogo na very naive, hivyo huamini maneno ya uongo yoote ya wanaume.
- Hujiamini saana kua she is very beautiful, hivyo hua in favour kwa mtu yeyote antaemsifia (aka mama huruma)
- When younger idadi ya wanaume watongozaji ni kubwa mno hivyo kumfanya ashawisheke..
- Makundi (marafiki zake kumshawish) vitu kama double crossing, kubadilisha guys..
- Kuto kujitambua kabisa what she is about.
DISCLAIMER: Sio woote yaani kwa wadada/wakaka
hii ni kweli lakini kuna nyongeza kwa wana dada ni kwamba
wakishaonya hiyo asali siku hizi hawakomi hata wakikuwa ndio wananza mambo kama T.GO na kadhalika
kwa kifupi wanaumizwa na historia na kuamua kuishi nayo kwa ujinga na desperation
Mr. Chwechwe naamini umekosea wa kum quote... au hiyo pole yangu??
Cyo mi mgumu kuelewa we ndio mgumu kuelewa nlikua nakukumbusha ume2mia TUNGO TATA! ila ukawa mgumu kuelewa .......Watu wagumu kuelewa utawaona tu! Dah! Nimecha kwa aibu ya kufa mtu... haya bana... Asante.
kabisa mwanaume anayependa hiyo lazima naye atataka tu afanyiwe.... sipati picha sasaHayo mambo ya TGO the more inaongelewa the more inakua promoted...
Personally a guy anaeprefer hio kitu moja kwa moja kwangu ni shoga.. kwamba
hata akute a fellow guy ni twende kazini... Lakini hata hivyo hii kitu inashamiri kila
siku lakini hasa mjini hapa Bongo, na ni mabinti wachache (i bliv) kua sio wengi
ambae anafanya hivyo...
Naomba nikuulize hivi hio unayo dai ni asali inapo onjwa na mwanaume pia
kwake vipi si hatari... kua nae ananogewa??
best kumbe na ww kiswahili kinakupiga chenga mara moja moja eh? afadhali tuko wengi,nlijua mwenzangu ww kamusi! pole na blue monday, yangu ilikuwa yellow!
Cyo mi mgumu kuelewa we ndio mgumu kuelewa nlikua nakukumbusha ume2mia TUNGO TATA! ila ukawa mgumu kuelewa .......
kabisa mwanaume anayependa hiyo lazima naye atataka tu afanyiwe.... sipati picha sasa
Watu wanaipromote sana..Ashadii na pia ushamba mwingi unasababisha ulimbukeni wa hii kitu
Tatizo wakiwaona wanawake wao wana enjoy hiyo kitu hudhani kuwa ni wanafaidi, wakiangalia na wao wanayo hiyo sehemu ndio wanajaribu sasaha ha ha Gaga umenifurahisha... ila ukweli ni kwamba mwingine anaweza apende
saana lakini hata siku moja hakubali kugeuka... siio necessary kua atafanyiwa hivyo
ila issue tu ndo wale ambao hufurahia kifingo jela...
Tatizo wakiwaona wanawake wao wana enjoy hiyo kitu hudhani kuwa ni wanafaidi, wakiangalia na wao wanayo hiyo sehemu ndio wanajaribu sasa
Tatizo wakiwaona wanawake wao wana enjoy hiyo kitu hudhani kuwa ni wanafaidi, wakiangalia na wao wanayo hiyo sehemu ndio wanajaribu sasa
Listen brother, mwanamke akiolewa mara nyingi inakuwa just you and her, mpo wote masaa yote, mnakula wote , mnatoka outing, mnalala wote, kivumbi kinakuja anapopata ujauzito na kuzaa mtoto, muda mwingi anatumia kumuhudumia mtoto wewe unarudi saa sita au nne , kitu kimoja kichwani uwe karibu na mkeo hata ikiwezekana mfanye mapenzi, mwanamke anakuwa amechoka hatari, kulea mtoto inaonekana jambo rahisi, lakini ni gumu hatari, muda mwingine mtoto anaweza lia fo hours, ile analala tu saa sita baba anaingia, unategemea nini hapo????Naomba kama mtu aliyeoa ila mwenye maadili ni COMMENT. Mwanaume aliyemwaminifu anapooa akili yake inamwambia kwamba mkeo atakupa kila haki ya kimapenzi uliyokuwa unaikosa ukiwa single. Pia mkeo atakuwa mshauri mkuu wa masuala yote yatakayohusu mustakabali wa maisha yenu yote including watoto kama Mtajaliwa Na Mungu.
Pia katika ndoa ni furaha , maelewano na amani huku zikiwepo changamoto ndogondogo.
Uzoefu unaonyesha baada ya wanandoa kukaa kwa takribani 5 years huwa wanazoeana na mara nyingi akina mama huwachoka waume zao haraka sana na kuanza kufanya mambo "business as usual" huku men wakijitahidi ku-maintain ile ahadi ya ndoa yao.
Akina mama wanapoanza kufanya mambo ki- business as usual wanaume wengi huumia na hapa migogoro ya kwenye ndoa huanza huku akina mama wakiwa wabishi kuliko kitu chochote. Ubishi wa akina mama unawasababisha kushindwa kufanya hata review ya tabia zao na kuamua kushikilia misimamo yao kwa kutotaka kuambiwa wala kubadilika kwa lolote.
Hali hii huwakatisha tamaa wanaume wengi na hapo jicho lao lina shift kutoka kwa mkewe kwenda kwa wanawake wengine kwa sababu wanahisi usaliti ndani ya nyumba. Kuanzia hapa wanaume hujikuta wakianza mahusiano nje ya ndoa tena mengi kuliko kabla hawajaoa. Kwa hiyo tatizo la kutoka nje ya ndoa kwa wanaume lina sababishwa kwa kiasi kikubwa na tabia za wanawake wao.
Ndio hivo,, kwa nini sasa wanapenda tigo hivo kama hawajui utamu na uchungu wakemmmh!Gaga hii justification yako inanitia wasiwasi sana......
Hii ni kweli kabisa. Kwa maneno mwengine, mwanamume anajisifu kuwa katembea na wengi ili aonekane rijali, kidume cha mbegu; na mwanamke anaogopa kutaja idadi halisi ili asionekane "mgawaovyo".Wanaume wanataka sifa ya URIJALI huku wanawake wakitaka ya UTULIVU!!