Haki sawa inabidi iende sawa na wajibu sawaNashindwa kuelewa nini hawa wenzetu wanakuwa wanamaanisha.
Utawasikia lazima tupate 50/50 maana binadamu wote ni sawa na tunaweza kufanya kazi zote zinazofanywa na wanaume.
Lkn wakati huo huo wanalilia kupewa nafasi za upendeleo yaani viti maalum!
Nashindwa kuelewa nini wanakusudia kulielimisha taifa juu ya uwepo wako ktk jamii.
Ni kwanini wapewe upendeleo wa kupitia viti maalum?
Je hawajiwezi kusimama majimboni kugombea ?View attachment 2863564View attachment 2863565
Tangu mwanzo wa kuumbwa kwa ulimwengu Mwanamke ni kiumbe kisichoridhika yaani ni watu wa tamaa.Kumbuka leo Rais ni Mwanamke ambaye anawakilisha SERIKALI,Spika ni Mwanamke ambaye anaongoza BUNGE chombo cha kutunga Sheria nchini lakini bado hawajaridhika.Hata nafasi zote za kiutawala Tanzania kuanzia kitongoji hadi Serikali Kuu wakishika wao tu wataendelea kulalamika kuwa hawaheshimiwi kwa sababu ni Wanawake.Nashindwa kuelewa nini hawa wenzetu wanakuwa wanamaanisha.
Utawasikia lazima tupate 50/50 maana binadamu wote ni sawa na tunaweza kufanya kazi zote zinazofanywa na wanaume.
Lkn wakati huo huo wanalilia kupewa nafasi za upendeleo yaani viti maalum!
Nashindwa kuelewa nini wanakusudia kulielimisha taifa juu ya uwepo wako ktk jamii.
Ni kwanini wapewe upendeleo wa kupitia viti maalum?
Je hawajiwezi kusimama majimboni kugombea ?View attachment 2863564View attachment 2863565
Tamaa na kutojiamini ndiyo chanzo.Haki sawa inabidi iende sawa na wajibu sawa
Mwanaume unahangaika ili upate pesa ya kuhudumia familia, unakuta yeye ana kazi pia ila hachangii kwenye matumizi na anakuambia sio wajibu wake (chako changu, changu changu)
Halafu anakuja kukuambia haki sawa 😂😂
Hao watu inabidi ifike mahali na sisi watuheshimu.Wanajitapa kuwa walituzaa.Je wao walizaliwa na akina nani?Nashindwa kuelewa nini hawa wenzetu wanakuwa wanamaanisha.
Utawasikia lazima tupate 50/50 maana binadamu wote ni sawa na tunaweza kufanya kazi zote zinazofanywa na wanaume.
Lkn wakati huo huo wanalilia kupewa nafasi za upendeleo yaani viti maalum!
Nashindwa kuelewa nini wanakusudia kulielimisha taifa juu ya uwepo wako ktk jamii.
Ni kwanini wapewe upendeleo wa kupitia viti maalum?
Je hawajiwezi kusimama majimboni kugombea ?View attachment 2863564View attachment 2863565
Wanawake wabinafsi Sana mungu alikuwa sahihi kabisa Zama zile kuwaona kama NI viumbe na sio watu ndio maana hawakuwa wakihesabiwa kama watu kwakuwa hawakuwa watu Bali viumbeHaki sawa inabidi iende sawa na wajibu sawa
Mwanaume unahangaika ili upate pesa ya kuhudumia familia, unakuta yeye ana kazi pia ila hachangii kwenye matumizi na anakuambia sio wajibu wake (chako changu, changu changu)
Halafu anakuja kukuambia haki sawa 😂😂
Inasikitisha sanaHaki sawa inabidi iende sawa na wajibu sawa
Mwanaume unahangaika ili upate pesa ya kuhudumia familia, unakuta yeye ana kazi pia ila hachangii kwenye matumizi na anakuambia sio wajibu wake (chako changu, changu changu)
Halafu anakuja kukuambia haki sawa [emoji23][emoji23]
Sasa tuwafanyeje mkuu au ndiyo tuzibe masikio?Tangu mwanzo wa kuumbwa kwa ulimwengu Mwanamke ni kiumbe kisichoridhika yaani ni watu wa tamaa.Kumbuka leo Rais ni Mwanamke ambaye anawakilisha SERIKALI,Spika ni Mwanamke ambaye anaongoza BUNGE chombo cha kutunga Sheria nchini lakini bado hawajaridhika.Hata nafasi zote za kiutawala Tanzania kuanzia kitongoji hadi Serikali Kuu wakishika wao tu wataendelea kulalamika kuwa hawaheshimiwi kwa sababu ni Wanawake.
Wabinafsi sanaKimsingi wanachodai ni upendeleo si usawa!
Kama usawa waanze kudai kwenye magari tutoe wote Sawa, Kisha tulete wote mkate mezani Sawa ndipo tugawane MALI Sawa!
Hilo hawataki kusikia, wao wanataka Mali tu igawanywe 50-50!