kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ndio mimi nataka maana kama wanapita kwa upendeleo maalumu kwa utamu wa peremende wata wagawiya wangapi!Ingependeza sana maana wangepimana ubavu majimboni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mimi nataka maana kama wanapita kwa upendeleo maalumu kwa utamu wa peremende wata wagawiya wangapi!Ingependeza sana maana wangepimana ubavu majimboni
Nilitaka kucomment hivi, umeniwahi.Tangu mwanzo wa kuumbwa kwa ulimwengu Mwanamke ni kiumbe kisichoridhika yaani ni watu wa tamaa.Kumbuka leo Rais ni Mwanamke ambaye anawakilisha SERIKALI,Spika ni Mwanamke ambaye anaongoza BUNGE chombo cha kutunga Sheria nchini lakini bado hawajaridhika.Hata nafasi zote za kiutawala Tanzania kuanzia kitongoji hadi Serikali Kuu wakishika wao tu wataendelea kulalamika kuwa hawaheshimiwi kwa sababu ni Wanawake.
Ni kweli hawataweza kwa sasa lakini kwajinsi wanavyozidi kuwekeza nguvu huko mbeleni sijui itakuwajeHawataweza
Nausukuma uzi utembee unarudisha mashambulizi sasa turudi kwenye maisha yetu ya kawaida naona ushajipiga ulanzi hapo!Tayari ushachanganya mada.
Nimeamini bange ya chato ni kali kuliko Ile ya Njombe
Jibu rahisi ni kuziba masikio.Lakini pia inabidi tuwape ukweli kuwa hakuna mtu anastahili kuonewa huruma kwa sababu tu ya jinsia yake bali bidii,uwezo na maarifa ya utendaji kazi ndiyo msingi bora wa haki sawa.Sasa tuwafanyeje mkuu au ndiyo tuzibe masikio?
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo,Mungu akubariki.Nilitaka kucomment hivi, umeniwahi.
Kwa wa Kristo mwanamke hawezi kupata haki sawa na mwanaume. Kwa mujibu wa Biblia haiwezekani. Mwanzo 3Nashindwa kuelewa nini hawa wenzetu wanakuwa wanamaanisha.
Utawasikia lazima tupate 50/50 maana binadamu wote ni sawa na tunaweza kufanya kazi zote zinazofanywa na wanaume.
Lkn wakati huo huo wanalilia kupewa nafasi za upendeleo yaani viti maalum!
Nashindwa kuelewa nini wanakusudia kulielimisha taifa juu ya uwepo wako ktk jamii.
Ni kwanini wapewe upendeleo wa kupitia viti maalum?
Je hawajiwezi kusimama majimboni kugombea ?View attachment 2863564View attachment 2863565