Wanawake wanatangaza sehemu gani ya mwili wakati huu?

Wanawake wanatangaza sehemu gani ya mwili wakati huu?

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,100
Jana nilikuwa napitia kidogo kwenye akaunti yangu ya FB ambayo nimeifanya yatima siku hizi. Katika pita pita zangu nikagundua kitu kimoja, picha nyingi za wanawake zinazopostiwa siku hizi zinaonyesha sehemu za kifua (Matiti/Manyonyo....you name them) na nyingine zinaonyesha Makalio/Masaburi/ you name them.Nikapata tabu kidogo maana najua kulikuwa na wakati they were putting picha za sura, wakaja za nywele, wakaja za miguu na kadhalika. sasa nauliza tu jamani....... which part of their bodies so they promote siku hizi?
 
Manido ndo yapo kwenye chati kwa sasa...MUULIZE HATA THEA WA MAIGIZO
 
rudi fb ukawaulize uliowaona
Nauliza hapa kwakuwa watu wanaweza kutafakari na kutoa majibu ya kina. Kule si unajua ukiwauliza instead of answering according to swali wao wanaanza kuandika HATERS sijui nini...................Hahahahaaa sijui hili neno limeishia wapi siku hizi
 
Ingekuwa vizuri ungewauliza hao wanaopost hizo picha bila shaka wangekuwa na majibu mazuri zaidi kuliko sisi ambao hatuja ziona.
 
Hebu post nawewe picha yenye manyoynyo tuone ya kwako yamekaaaje ndiyo tutakujibu.
 
Ingekuwa vizuri ungewauliza hao wanaopost hizo picha bila shaka wangekuwa na majibu mazuri zaidi kuliko sisi ambao hatuja ziona.
Hapana naomba nisikubaliane na wewe, 75% ya members wa JF aidha waliwahi kuwa FB au wako FB na wanajua sana kinachoendelea huko so mi sipendi sana watu wanafiki wanaojifanya hawajui wakati wanajua
 
Inategemea ni watu wa Sampuli ipi wataka kuvutia...
 
Inategemea ni watu wa Sampuli ipi wataka kuvutia...
Alaa kumbe, so kimsingi ndani ya nafsi zao wanataka kuwavutia watu fulani eeh? Umeongea jambo la maana sana we binti
 
Kwa mimi napenda sana ****** au MAKALIO YAWE MAKUBWA kwani huwa napenda kuyatumia sana hata kama MATITI YAKE YATAKUWA YANGA (YANGA=NDALA)......KUCHIMBA DAWA AU KUTOBOA MFUKO WA MBOLEA KWENDA MBELE.....NA AKINA DADA WENGI SIKU HIZI HASA MASISTA DU WANAPENDA KUFANYWA SAMAKI SANA SIJUI KWANINI JAMANI.
 
Biashara matangazo. Picha za matangazo lazima zivutie wateja. Huwezi ukaonyesha picha ya kwapa katika matangazo ya biashara hii.
 
Kwa mimi napenda sana ****** au MAKALIO YAWE MAKUBWA kwani huwa napenda kuyatumia sana hata kama MATITI YAKE YATAKUWA YANGA (YANGA=NDALA)......KUCHIMBA DAWA AU KUTOBOA MFUKO WA MBOLEA KWENDA MBELE.....NA AKINA DADA WENGI SIKU HIZI HASA MASISTA DU WANAPENDA KUFANYWA SAMAKI SANA SIJUI KWANINI JAMANI.
Dah no coment hapo
 
nauliza hapa kwakuwa watu wanaweza kutafakari na kutoa majibu ya kina. Kule si unajua ukiwauliza instead of answering according to swali wao wanaanza kuandika haters sijui nini...................hahahahaaa sijui hili neno limeishia wapi siku hizi
ebu mpm bebii akupe darasa mkuu
 
Back
Top Bottom