EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,100
Jana nilikuwa napitia kidogo kwenye akaunti yangu ya FB ambayo nimeifanya yatima siku hizi. Katika pita pita zangu nikagundua kitu kimoja, picha nyingi za wanawake zinazopostiwa siku hizi zinaonyesha sehemu za kifua (Matiti/Manyonyo....you name them) na nyingine zinaonyesha Makalio/Masaburi/ you name them.Nikapata tabu kidogo maana najua kulikuwa na wakati they were putting picha za sura, wakaja za nywele, wakaja za miguu na kadhalika. sasa nauliza tu jamani....... which part of their bodies so they promote siku hizi?