Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

Tupiamo tupicha twako....biashara matangazo.
 
Hata mimi nilikuwa kwenye bas juzi, nikatoa kitita cha buku ten, dada mmoja akashindwa kujizuia, akaniomba nimmnunulie chakula tukifika kitonga(comfort)...
Ila mimi nina macho mabayaa!

Sisi wanaume wa mikoa mingine tuna hela!
 
Kusifiwa na demu ni bahati sana hata uwe handsome kutamkiwa na demu we ni handsome boy huwa shghuli ngum ila pemben watasema. Hongera kwa kusifiwa ila pole sana kukubali sifa ya kiseng* hivo mi nilimwacha demu aliponambia nakupenda ulivo hasa hayo macho yako ya nyeg* nilikwazika sana hadi leo hajui sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…