Wanawake wanavyochanganyikiwa mbele ya Mange Kimambi

Wanawake wanavyochanganyikiwa mbele ya Mange Kimambi

Hahahaha.....hapo kwenye kulala umependeza na tai umefunga tehteh
 
umejuaje anaitwa mange kimavi.....maisha bila unafiki hayaendi.......kubali kataaa kwa sasa ndie popular wa tz in social media
Kwahiyo unanilazimisha niwe namjua?? Siyo wote wanaochat humu na huko insta wanachat take ur time
 
kimavi sio yule mpakuaji ?au yule anayezibuliwa ??
 
Yani wanawake wanapolisikia jina la Mange Kimambi akili huwaruka kabisa na kuwa kama vichaa.Ikitokea mwanaume kagombana na Mange Kimambi basi tegemea hata picha za uchi atakazopigwa na mke wake na kurushwa kwenda US kwa Mange.

Wanawake wamgeuza Mange mungu wa Social networks
387868_10150562478658098_201608553_n.jpg


Sasa ndio nimewamegea siri wanaume wenzangu,ikitokea umetofautiana na Mange kwenye mitandano huko uhakikishe unalala umependeza kabisa tena ikiwezekana weka na tai shingoni maana huwezi jua ni mda gani utapigwa picha.
Haha haha shkamoo
 
Back
Top Bottom