umejuaje anaitwa mange kimavi.....maisha bila unafiki hayaendi.......kubali kataaa kwa sasa ndie popular wa tz in social mediaHuyo mange kimavi ndiyo nani,?? Mi simjui
Mchepuko wa babakoHuyo mange kimavi ndiyo nani,?? Mi simjui
Kwahiyo unanilazimisha niwe namjua?? Siyo wote wanaochat humu na huko insta wanachat take ur timeumejuaje anaitwa mange kimavi.....maisha bila unafiki hayaendi.......kubali kataaa kwa sasa ndie popular wa tz in social media
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ama kweli Malaya so lzm atembee nusu utupu...[emoji57] [emoji57] https://jamii.app/JFUserGuide uMchepuko wa babako
Haha haha shkamooYani wanawake wanapolisikia jina la Mange Kimambi akili huwaruka kabisa na kuwa kama vichaa.Ikitokea mwanaume kagombana na Mange Kimambi basi tegemea hata picha za uchi atakazopigwa na mke wake na kurushwa kwenda US kwa Mange.
Wanawake wamgeuza Mange mungu wa Social networks
Sasa ndio nimewamegea siri wanaume wenzangu,ikitokea umetofautiana na Mange kwenye mitandano huko uhakikishe unalala umependeza kabisa tena ikiwezekana weka na tai shingoni maana huwezi jua ni mda gani utapigwa picha.