Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ndo style yao ya kucheza mkuu, shida ipo kwa wanaume wanaowaigaUtu uko wapi?
Heshima iko wapi?
Upendo na staha viko wapi?
Video iko wapi?
[emoji3][emoji3][emoji3]Jitaidi unavyoleta thread kama ii uwe una kapicha kidogo mkuu maana sisi wengine walokole nama ostadh sehemu tajwa hizo hatuingii na itakusaidia kunogesha zaidi thread
Wewe umewaonea wapi? Ndege wafananao huruka pamoja. Hama uswahiliniSalama waungwana,
Niwaulize kwa uchache tu hivi huu ubinuaji wa maprosoo a.k.a makalio Kwa wanawake wakati wakicheza miziki nyakati hizi za ndebendebe na amapiano ni kwamba wanakuwa na stimu mbinuko kwenye hayo maeneo au dhamira ni uchokozi wa kupandisha stimu za ngono kwa wanaume.
Hii kero ni aibu aibu sijui wenye wake na wato wa 8+ years huko nyumbani hali ikoje.
Ntaendelea kukataa ndoa kwa nguvu zote hii hali hairuhusu kuoa.
Nawasilisha
Shukrani πππ
Wadiz
Imebakia kuwasomea maadili wale wanaowateua lakini hakuna yeyote aliyewahi adhibiwa kwa kukiuka maadili hayo ; ingawa hawa wateule wa ccm ndio mafisadi na wala rushwa nambari one!MAADILI YA TAIFA 0
Salama waungwana,