Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Salama waungwana,
Niwaulize kwa uchache tu hivi huu ubinuaji wa maprosoo a.k.a makalio Kwa wanawake wakati wakicheza miziki nyakati hizi za ndebendebe na amapiano ni kwamba wanakuwa na stimu mbinuko kwenye hayo maeneo au dhamira ni uchokozi wa kupandisha stimu za ngono kwa wanaume.
Hii kero ni aibu aibu sijui wenye wake na wato wa 8+ years huko nyumbani hali ikoje.
Ntaendelea kukataa ndoa kwa nguvu zote hii hali hairuhusu kuoa.
Nawasilisha
Shukrani 🙏🙏🙏
Wadiz