Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #41
Kati ya wanaume wengi wanaotumia dawa za nguvu za kiume, ulaya ndiyo wanaongozauwiiiii pointless ulaya wanavaa uchi kabisaaa mikoani je, wanaume wa Dar tafuteni course ya ilo janga
Kweli kabisa, ulaya wanatumia sana madawaUko sahihi sana,jambo hili limewadhuru sana wazungu,mpaka wamefikia kutengeneza madawa ya kuongeza nguvu za kiume ni kwasababu kwao hili ni tatizo kubwa.Na hii shida inazidi kuongezeka sasa huku kwetu,unakuta kijana mdogo miaha 25 hamna kitu,hii ni hatari..
Sijajua nini kinasababisha hiviWanaume waliooa wengi wanachepuka maana wake zao wachafu.
Yaani wakati unampiga sound dem, anakua msafiii hadi enzi za uchumba.
Akiolewa, anakuja kitandani kulala na mumewe mikono ina masinzi na ananuka moshi.
Kwa style hii, jogoo hawezi kuwika
By living a healthy life.How should we live?
Umeongelea nguvu Za kiume siyo mzukaKwa mtu anayeiona papuchi kila siku, na yule anayeiona mara moja kwa mwezi, unadhani nani anakua na mzukaa?
Kweli mkuuAhh papuchi nazo kila kona zime jianika Paka tumezichoka
Sasa mtu anapokosa mzukaa, anaanza kuhaha na kudhani hana nguvu za kiumeUmeongelea nguvu Za kiume siyo mzuka
Picha ya nini mkuu?Weka picha mkuu
Picha ya nini mkuu?
Unataka nile ban kama last time nilipofanya hivyo kwenye uzi wa mshana jr wa mambo ya tanga eh?Ya kunogesha uzi !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka nile ban kama last time nilipofanya hivyo kwenye uzi wa mshana jr wa mambo ya tanga eh?