Wanawake wanavyojiweka siku hizi, ndiyo husababisha wanaume wengi wajihisi hawana nguvu za kiume.

Wanawake wanavyojiweka siku hizi, ndiyo husababisha wanaume wengi wajihisi hawana nguvu za kiume.

uwiiiii pointless ulaya wanavaa uchi kabisaaa mikoani je, wanaume wa Dar tafuteni course ya ilo janga
Kati ya wanaume wengi wanaotumia dawa za nguvu za kiume, ulaya ndiyo wanaongoza
 
Uko sahihi sana,jambo hili limewadhuru sana wazungu,mpaka wamefikia kutengeneza madawa ya kuongeza nguvu za kiume ni kwasababu kwao hili ni tatizo kubwa.Na hii shida inazidi kuongezeka sasa huku kwetu,unakuta kijana mdogo miaha 25 hamna kitu,hii ni hatari..
Kweli kabisa, ulaya wanatumia sana madawa
 
Wanaume waliooa wengi wanachepuka maana wake zao wachafu.

Yaani wakati unampiga sound dem, anakua msafiii hadi enzi za uchumba.

Akiolewa, anakuja kitandani kulala na mumewe mikono ina masinzi na ananuka moshi.

Kwa style hii, jogoo hawezi kuwika
Sijajua nini kinasababisha hivi
 
Inategemea NTU na NTU mie nikitaka gemu naliga fresh tu kwani hakuna dem anaetembea K iko nje
 
Mwingine unakuta mwili wenyewe kashaufanya sanamu la Michelin alafu anakukalia uchi lazima hamu yote itoke!
 
Ukweli ni kwamba sikuhizi nguvu za kiume hamna
 
Back
Top Bottom