Wanawake wanavyojiweka siku hizi, ndiyo husababisha wanaume wengi wajihisi hawana nguvu za kiume.

Wanawake wanavyojiweka siku hizi, ndiyo husababisha wanaume wengi wajihisi hawana nguvu za kiume.

Upungufu wao unatokana na kupiga "nyeto", kutokufanya mazoezi, kula vyakula vya nyoronyoro, hawana skills na knowledge za mapenzi
Nyeto haipunguzi nguvu za kiume nina scientific evidence ya hili ila mengine yoote sawa
 
Back
Top Bottom