Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB Jamii Bond yaanza kuuzwa London stock Exchange-UK

 
Good
 
Hiyo statement ya kuwa hizi bank zinaua uchumi nishawahi kuzisikia, mzee mmoja prof wa uchumi alielezea hilo jambo kwa kina mpaka nikasikitika mno. Hiyo nmb ni ujanjaujanja tu wanafanya. Hapo ni kuchukua hela za wazungu kisha 65% ya hela wanakopesha watumishi wa umma kwa riba ya 16% ambayo ukipiga hesabu 'vizuri' ni kama 32% mpaka 50% kulingana na miaka ya kukopa. Halafu kama 20% wanatumbukiza serikalini halafu 10% wanakopesha makampuni makubwa ambayo tayari yashajipata yenye turnover ya mabillioni halafu hiyo asilimia 5 ndio inaenda kwenye jamii, eti bond inasaidia jamii 🤣🤣🤣🤣🤣 huu utapeli wa wazi kabisa 🤣🤣🤣
Mazingira 🤣🤣
Ni unyonyaji tu 🤣

Na watumishi wa umma/sekta binafsi wakipewa hela, mzunguko ni uleule, kununua magari, matumizi ya ovyo yasiyo zalisha, kuweka heshima bar, na kutafuta michepuko wenye matako makubwa 🤣🤣
 
Nampenda Zaipuna bure tu.
 
Reactions: YAY
Amka Uoge uende KAZINI mwambie huyo Zaipuna ashungurikie NMB Wakala kuna siku inakuja Mawakala wa NMB wataanza kupigwa Mapanga kwa Wizi wao
🤣
Nmb ikifika wiki ya mishahara system inakuwa mbovu sana.
 
Safi Zaipuna
 
Deal done
 
Nampenda Zaipuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…