Wanawake Wanene: Less Successful

Wanawake Wanene: Less Successful

Mkuu issue hapa ni self confidence and inferiority complex..., Kwa nchi za wenzetu hususan Europe wana-mentality ya kwamba wembemba ndio uzuri, kwahiyo inawafaya watu wanene wasijiamini na ni vigumu kufanikiwa ukiwa hujiamini...,

Therefore kama mtu utajipenda mwenyewe na kuona kwamba unene ni uzuri basi the Sky is the Limit..., Kwahiyo this Study inaonyesha lack of selfconfidence is not good
 
mkuu are you aware with ferminism? Huku ndio chumbuko la yote, inasaidiwa sana na ideas of liberalism.
Haya mambo ya succes kwa wanawake yalianzia kwenye iman gani,atakaenijibu nitampa zawadi nzuri sana!
 
Punguzeni munkari wadau. findings za hii research zaweza zisi apply africa ila kwa nchi zilizoendelea mi nakubaliana na utafiti huo; kwani wanawake wenye obesity huwa wanakuwa wanachekwa na kutokubalika na jamii (hawana market) hivyo yaweza kuwaondolea confidence na ku end up being unsucessful in life.

Na wanaosema maboss bongo ni wanene napenda wakumbuke kuwa hao mabosi walinenepa baada ya kuwa successful; patly sababu ya kula sana vyakula vya hovyo na vileo. Lakini wakati wana struggle wengi walikuwa vimbau mbau.

Hata hapa hapa bongo jaribu kuangalia watoto ambao ni wanene kupitiliza na perfomance zao mashuleni!

The results of this study could be true in the west. Manake ukiangalia MAJORITY ya wanawake wengi wanono wana-fall ktk results za hii study
 
muffin_top_729-420x0.jpg




June 23, 2011 - 10:06AM
Overweight women, are less successful than their slimmer peers, according to recent university research that blames a lack of education, rather than workplace discrimination, as the major reason.
"Bigger girls are less likely to go to college regardless of how well they did in school, their career aspirations or whether their parents went to college," said Christy Glass, one of two Utah State University associate professors of sociology involved in the study. "That education deficit accumulates over the course of their careers."
Weight was not nearly as big a factor in the career trajectories of men, the researchers found.
Advertisement: Story continues below
"We need some serious intervention there," Glass said.
The study was published in the 2010 June issue of journal Social Forces, but has since garnered wider attention following an opinion piece in The New York Times by the scholars, titled Heavy in School, Burdened for Life.
"There is so much insensitivity surrounding anybody afflicted with obesity. So much of the prevailing feeling is that we deserve everything bad that happens to us because it's all our fault," said Barbara Thompson, chairwoman of the Obesity Action Coalition, a 25,000-member group based in Tampa, Florida.

The researchers concluded that obesity, at least for young women, somehow derails aspirations.
Obesity may be less of a factor in mens' economic prospects because it does not carry as much stigma and is not much of a barrier to playing sports or pursuing other extracurricular activities at school.
"Being heavy can be an advantage (for men), if you are playing nose tackle on the football team," Reither said.


The Sydney Morning Herald





Kwa kweli research hii haijaniingia hata kidogo.
 
Swali la kizushi, hivi Tanzania tuna wanawake wanene??? Manake unene unaozungumzwa hapa huenda ukawa ule uliosababishwa na Obesity!!!!!!!!!!!! Nadhani tunaelewa nchi nyingi zilizoendelea zinavyokabiliwa na tatizo kubwa la unene
 
Punguzeni munkari wadau. findings za hii research zaweza zisi apply africa ila kwa nchi zilizoendelea mi nakubaliana na utafiti huo; kwani wanawake wenye obesity huwa wanakuwa wanachekwa na kutokubalika na jamii (hawana market) hivyo yaweza kuwaondolea confidence na ku end up being unsucessful in life.Na wanaosema maboss bongo ni wanene napenda wakumbuke kuwa hao mabosi walinenepa baada ya kuwa successful; patly sababu ya kula sana vyakula vya hovyo na vileo. Lakini wakati wana struggle wengi walikuwa vimbau mbau.Hata hapa hapa bongo jaribu kuangalia watoto ambao ni wanene kupitiliza na perfomance zao mashuleni!
umeotoa logical fact!
 
Mkuu swala la umene wa mtu na mafanikio limekosa uhusiano. Tumeshuhudia wanawake wengi wanene wakimiliki mali nyingi so hapa kuna utata. Mbona hata hao wanawake wembamba ni masikini?
 
Mkuu swala la umene wa mtu na mafanikio limekosa uhusiano. Tumeshuhudia wanawake wengi wanene wakimiliki mali nyingi so hapa kuna utata. Mbona hata hao wanawake wembamba ni masikini?

good call
 
Mhhhh hiiya wapi?nina ndugu yangu mnene tangu mtoto anachanja mbuga tu za mafanikio
 
June 23, 2011 - 10:06AM
Overweight women, are less successful than their slimmer peers, according to recent university research that blames a lack of education, rather than workplace discrimination, as the major reason.
"Bigger girls are less likely to go to college regardless of how well they did in school, their career aspirations or whether their parents went to college," said Christy Glass, one of two Utah State University associate professors of sociology involved in the study. "That education deficit accumulates over the course of their careers."
Weight was not nearly as big a factor in the career trajectories of men, the researchers found.

"There is so much insensitivity surrounding anybody afflicted with obesity. So much of the prevailing feeling is that we deserve everything bad that happens to us because it's all our fault," said Barbara Thompson, c

Nadhani hii research haikua sahihi. Hajamaliza utafiti. Kwa nini hawaendi shule? Mi nadhani shida kubwa inabaki ni discrimination but not at the work place, ni kokote. Na hiyo inashusha confidence na ndio maana hawaendi shule.
Kutoenda shule tayari ni consequence ya lack of self confidence which itself starts with early discrimination at school.
 
Back
Top Bottom