Wanawake Wanene: Less Successful

Mkuu issue hapa ni self confidence and inferiority complex..., Kwa nchi za wenzetu hususan Europe wana-mentality ya kwamba wembemba ndio uzuri, kwahiyo inawafaya watu wanene wasijiamini na ni vigumu kufanikiwa ukiwa hujiamini...,

Therefore kama mtu utajipenda mwenyewe na kuona kwamba unene ni uzuri basi the Sky is the Limit..., Kwahiyo this Study inaonyesha lack of selfconfidence is not good
 
mkuu are you aware with ferminism? Huku ndio chumbuko la yote, inasaidiwa sana na ideas of liberalism.
Haya mambo ya succes kwa wanawake yalianzia kwenye iman gani,atakaenijibu nitampa zawadi nzuri sana!
 

The results of this study could be true in the west. Manake ukiangalia MAJORITY ya wanawake wengi wanono wana-fall ktk results za hii study
 
Kwa kweli research hii haijaniingia hata kidogo.
 
Swali la kizushi, hivi Tanzania tuna wanawake wanene??? Manake unene unaozungumzwa hapa huenda ukawa ule uliosababishwa na Obesity!!!!!!!!!!!! Nadhani tunaelewa nchi nyingi zilizoendelea zinavyokabiliwa na tatizo kubwa la unene
 
umeotoa logical fact!
 
Mkuu swala la umene wa mtu na mafanikio limekosa uhusiano. Tumeshuhudia wanawake wengi wanene wakimiliki mali nyingi so hapa kuna utata. Mbona hata hao wanawake wembamba ni masikini?
 
Mkuu swala la umene wa mtu na mafanikio limekosa uhusiano. Tumeshuhudia wanawake wengi wanene wakimiliki mali nyingi so hapa kuna utata. Mbona hata hao wanawake wembamba ni masikini?

good call
 
Mhhhh hiiya wapi?nina ndugu yangu mnene tangu mtoto anachanja mbuga tu za mafanikio
 
Nadhani hii research haikua sahihi. Hajamaliza utafiti. Kwa nini hawaendi shule? Mi nadhani shida kubwa inabaki ni discrimination but not at the work place, ni kokote. Na hiyo inashusha confidence na ndio maana hawaendi shule.
Kutoenda shule tayari ni consequence ya lack of self confidence which itself starts with early discrimination at school.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…