Wanawake wanene makes good couple/wives; personal experience

Wanawake wanene makes good couple/wives; personal experience

Palaeolithic men valued larger women. Female fat was a sign of well being, plenty and the ability to survive hard times. In the days when hunting provided a large proportion of our food having a fat wife was the equivalent of driving a Ferrari.

Fat women are great fun to have sex with too.
 
Kwakweli mwanamke mnene ni heshima kwa mumewe hiyo ndio experience ya kiafrica au kibantu. Mnayakumbuka mashindano ya miss mbantu?? mimi nitoe mfano wa kabila langu ni kwamba ukiwa na mke mwembamba unatafsiliwa kuwa mwanamme katiri unayetesa au hujui kulisha, lakini kama mkeo ni mnene unajisikia proud kumtabulisha hata kwa wageni kwa vile watakusifu kwa matunzo bora. Hata hivyo hili uendana na mavazi na mapambo vitu vinavyomg'alisha mwanamke.

Personally napenda sana mnene ila sababu naziweka kwenye mabano!
 
Hahaaaa, mkuu umenipa kucheka....ila ungetumwagia hayo masababu badala ya kuweka kwenye mabano lingekuwa jambo la busara sana......achana na hii mutu ya maumbile ya kibantu bana.....
 
Ukweli,kutokana na uzoefu kuna ushahidi kuwa mwanamke mnene hana usumbufu jama mwembamba,japokuwa sio wote ila wengi ni watulivu kwenye ndoa au uhusiano!
 
Asili na uzuri wa mwanamke wa kiafrika jamani nu unene.Haya mambo ya umiss ndio yameingia vichwani mwa wanaume wa kiafrica na kuwafanya wahisi kuwa na mwanamke mwembamba ndio umepaaata,hivyo wanawake nao iakawaingia akilini kwamba ili waonekane wazuri ni lazima wawe vimbaomba.

Ila mwenzenu sijawahi kunenepa,yaani sijawahi zidi 60kg,yaani hapo ndio nimenenepa haswa,i wish ningeweza fikisha hata 65kg hivi?
 
Dah, i feel so pity broda.....few exceptions applies...haaaaa

He might be right as we dont know his 'personal experience'
as they say kila shetani na mbuyu wake,maybe big momaz are your destiny,hahaaa!
 
mhhhhhhhhhhhh
watu wanagundua leo
jambo nililogundua miaka hiyoooo lol
 
Mi nafikiri cha msingi kila mmoja awe alivyo,yaani ajikubali kama alivyoumbwa kwani kila binadamu ana test na preference zake,we ukipenda wanene kuna anayependa size ya kati na wengine wanapenda vimodel kama ambavyo kuna wanaopenda weupe na wengine hupenda weusi.
 
wanawake wanene watamu sana..binafsi sipendi kabisa mwanamke asi na nyama mana sifaidi majoto ha ha ha ha
 
mhhhhhhhhhhhh
watu wanagundua leo
jambo nililogundua miaka hiyoooo lol

Hhaaaa, The Boss mkuu tatuzo uligundua ukapiga nyuti hujatumegea wenzio...

Wametulia bana, tuache utani pembeni.....na wana vifua vya kubeba mambo
 
Mi nafikiri cha msingi kila mmoja awe alivyo,yaani ajikubali kama alivyoumbwa kwani kila binadamu ana test na preference zake,we ukipenda wanene kuna anayependa size ya kati na wengine wanapenda vimodel kama ambavyo kuna wanaopenda weupe na wengine hupenda weusi.

You are right Balle.......................soma signature yangu...............
 
Ayaaa............. aisee mbona post imetulia hii..............

tatizo hili li search option la JF sijui lina mapepo!! nili-search awali kuona kama kuna thread ya kuwapa heshima yao hawa lakini sikuipata

Thanks for a piece of good analysis....by the way ndivyo walivyo.........
 
I loove big women.....big everything,but a flat belly!
 
hahaha kwa ujumla nimeifurahia haya majadiliano
 
Asikudanganye mtu my dear, Hawezi kukuacha kwa kuwa alikupenda na kukuchagua miongoni mwa wengi ukiwa hivyo ulivyo. Labda nikushauri kuhifadhi muonekano na mazuri yote uliyonayo kwa kuwa ndivyo vili../vina.. na vita... endelea kumchengua daima. Just be urself and happy!

Watu wengi wanasema hivo sina hakika embu wanaume jitokezeni mujibu hili, leo nitakula kiti moto kilo mbili nisije achwa
 
Back
Top Bottom