JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
Hhaaaaaa, Mkuu you make me day......acha kabisa, ukijiegemeza kwenye boobs zile unasahau shida zote........raha tupu
Kwakweli mwanamke mnene ni heshima kwa mumewe hiyo ndio experience ya kiafrica au kibantu. Mnayakumbuka mashindano ya miss mbantu?? mimi nitoe mfano wa kabila langu ni kwamba ukiwa na mke mwembamba unatafsiliwa kuwa mwanamme katiri unayetesa au hujui kulisha, lakini kama mkeo ni mnene unajisikia proud kumtabulisha hata kwa wageni kwa vile watakusifu kwa matunzo bora. Hata hivyo hili uendana na mavazi na mapambo vitu vinavyomg'alisha mwanamke.
Personally napenda sana mnene ila sababu naziweka kwenye mabano!
Dah, i feel so pity broda.....few exceptions applies...haaaaa
Mi nafikiri cha msingi kila mmoja awe alivyo,yaani ajikubali kama alivyoumbwa kwani kila binadamu ana test na preference zake,we ukipenda wanene kuna anayependa size ya kati na wengine wanapenda vimodel kama ambavyo kuna wanaopenda weupe na wengine hupenda weusi.
asante kwa kutupa sifa sisi wanene, ni nadra sana kwa sisi kusifiwa....nimekupenda bure
Watu wengi wanasema hivo sina hakika embu wanaume jitokezeni mujibu hili, leo nitakula kiti moto kilo mbili nisije achwa