Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

Kwahio Kijana masikini Raha yake akumbatie viganja visikutane?
😅
Mkuu acha tu hawa watu, yaani kuna muda unasema sasa tukaoge, baasi akitangulia mbele nikatoka nyuma hatufiki bafuni, ndiyo inakuja hiyo kukumbatia kwa nyuma sasa, unakumbatia kama unataka kuinua roba la nyasi za kulishia ng'ombe.

VIBONGE MITANO TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…