Wanawake wanene wa wastani, walofungasha nyuma (makalio ya kutosha), wenye miguu mikubwa (ya bia)

Wanawake wanene wa wastani, walofungasha nyuma (makalio ya kutosha), wenye miguu mikubwa (ya bia)

Na kwa kujua tamaa zako zilipo kunatufaidisha vipi?
Nafanana na wewe.
Mie hapana taka kama mimi. Mimi taka kama wao. Tamaa (zangu au za mwingine). What i like/prefer are what others dislike. Ndo ubinadamu huo.
 
Pole na hako ka gonjwa jaamani...asante kwa kutufahamisha. Kesho utuambie ni style gani kitandani inakupagawisha ili umalize kabisa...sawaaaaa?!

Sawaaaaaa.....
 
sasa hapo unataka hisia zako zilingane na wengine???
 
0071.gif
super hot....
 
Tupo wengi.....ila pia kuna wale wembamba wa wastani
 
mkuu mi nipo opposite na wewe,i prefer tall slender ones wenye vitako vya kishkaji
 
hahahhhahha, na sie wembamba nani tunampagawisha? au atuna nyama basi shida tupu kushika mifupa
 
kweli kabisa kimbweka, watu wamekuwa wakali sana wakati mtu anaelezea hisia zake
 
Back
Top Bottom