Wanawake wanene wa wastani, walofungasha nyuma (makalio ya kutosha), wenye miguu mikubwa (ya bia)

Kama hili la Omotola halimtoshi basi saizi yake huyo anaerukaruka


La umotola la kawaida sana hilo ndugu yangu, angalia vizuri mitaani, wanawake wengi wakilibana kama aliovyofanya Omotola, wanakuwa hivyo! Hilo sio la Haja, wakati tukiwa UDSM, wahanga walikuwa hawawezi kulipa hilo A+. Bado nakuomba ujaribu ya wanyakyusa, wahaya na wasukuma....
 
Aise hii thread imewachosha mademu wa jf wasio na izo sifa!
 
Lakini mtoa mada si kasema unene wa wastani? Omotola ana fit qualifications za mtoa mada. Wewe unaongelea XXXL.

 
Yapasa umrudie Mungu,atakupa nguvu za kushinda tamaa hizo!!Otherwise utaangamia pabaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…